Wataka mambo hautayaweza๐Ÿ˜‰ - karibu tuzogoe!

Njoo tulewe we kichaa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mimi kichaa? Uzuri kuna kanuni zinatuongoza kabla ya kufanya maamuzi hatutakiwi kukurupuka
Kanuni ni collecting, analyzing and disseminating of info. Hizi zote lengo sio kuja kuanza kushambulia bali kuongoza kufanya maamuzi, baada ya maamuzi ndio kushambulia hufuata. Ndio maana nasema nipo kudefend sijaanza kuwa offensive
 
Mtanange unao endelea ni kati ya kaka wa Depal anajaribu kuweka ulinzi kwa mdogo wake


Upande wa pili ni binti machachali Labella akijaribu kutaka kufufua makaburi ya juzi na jana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
Ndio, nipo kuweka ulinzi hakuna yoyote atayeweza kufanya chochote wala kuzusha chochote dhidi ya depal
 
Sijasoma najua ni upuuzi tu ๐Ÿ˜น

Njoo tulewe mwanetu
 
Weka sawa hii, sio kaka wa D ni mvizia free kei ya D ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Huyo mimi siwezi kupiga naye battle, yeye yupo kuvizia kei ya kimasihara hapa..!!
Sawaaa mahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ