Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu tuwe wakweli, unaponisalimia 'shikamoo' huoni kuwa unanitengenezea wigo wa kunizuia kukutangazia dhamira zangu za dhati hata kama ninazo?Naheshimu watu wazima, salamu nayo ni stahiki yako!
Kwa unyenyekevu mkubwa sana nakusalimia baba yangu 🤭Mkuu tuwe wakweli, unaponisalimia 'shikamoo' huoni kuwa unanitengenezea wigo wa kunizuia kukutangazia dhamira zangu za dhati hata kama ninazo?
Kisaikolojia hasa sisi waafrika ni ngumu sana kumgeuzia kibao mtu aliyeonesha unyenyekevu kwako.
Haijawahi kukutokea
Naogops sana aiseeee
Aanh wapi! Wewe ndio unaongoza aisee unawapisha vijana wengi sana nyeto humu!Wewe unao wengi humu.
Mimi siku waja wakinivaa sijui itakuwaje 😂
Cheo kingine umenibwagia hicho, ahsante.Kwa unyenyekevu mkubwa sana nakusalimia baba yangu 🤭
Au sio!!🙌🚮
Asante kwa kushukuru 🙏🏽Cheo kingine umenibwagia hicho, ahsante.
Pole mwanangu, ila hawezi kuja kukuharibia humu!Naogops sana aiseeee
Pia najuta sana
hello mamyPole mwanangu, ila hawezi kuja kukuharibia humu!
Napita tu mama mtumishi🤣1. Simi😬
3. Bae nikule/am ovulating 🌚
Mtoto wanguhello mamy
Mama mtumishi yuko vizuri kwenye mambo ya SimiNapita tu mama mtumishi🤣
Jamani Mawardat umezidi uhafidhina. Kwani nyie maustadhat hamtumii haya mambo? Si sunna hii?Au sio!!🙌🚮
Astaghfirllah 😮😁Jamani Mawardat umezidi uhafidhina. Kwani nyie maustadhat hamtumii haya mambo? Si sunna hii?
Sio mimi akii🥹Napita tu mama mtumishi🤣
MnanioneaaMama mtumishi yuko vizuri kwenye mambo ya Simi
Miaka inaposonga hufikia hisia kugawanyika kutokana na jinsia.
Kwa mwanamke akifikia M.P hamu taratibu huanza kutoweka na kuliona tendo halina maana tena.
saikolojia yake automatic hubadilika kuzifuata hormones zinavyobadilika.
Kadri muda unavyosonga 'maumbile ya kike' husinyaa na kutoweza kutumika kwa ufanisi na kwa ridhaa, hapo huwa ndiyo mwisho.
Lakini kwa mwanaume asipokuwa na 'magonjwa yasiyoambukiza' ambayo hufanya nguvu kushuka ama kupotea, ye huendelea na hisia zile zile za ujana hadi mwisho wake.
Sa'sijui kama nimekujibu unavyotaka?
Nadhani utafiti huo waweza kuwa sawa, kwa sababu binadamu wametofautiana, ila wengi pindi tu baada ya menopause kuwakumba huchoshwa na kuyachukia 'mambo'ayo'.
- Kinsey Institute: A July 2025 study published in Menopause by Kinsey Institute researchers found that sexual pleasure remains consistent for many, with peri- and post-menopausal women reporting improved orgasm quality, and orgasm frequency during masturbation remaining high (81% of the time) regardless of menopause stage.
- University of Pittsburgh (SWAN Study): Research published by Dr. Holly Thomas, using data from the Study of Women's Health Across the Nation (SWAN), found that approximately 27% of women continue to rate sex as highly important through their 40s to 60s.
Ndio mkuu, ni hormones tu zinapungua, anakuwa mkavu kama ana afya njema, ila sio tena mapenzi ya ki hardcore. Maandalizi mazuri na vilainishi na anampenda mtu ana enjoy. Kwa kuwa nerve endings zinaendelea kuwepo with proper stimulation ana enjoy.Nadhani utafiti huo waweza kuwa sawa, kwa sababu binadamu wametofautiana, ila wengi pindi tu baada ya menopause kuwakumba huchoshwa na kuyachukia 'mambo'ayo'.
Je baada ya 60 anaweza kubakia ngangari?
Wangejitokeza wamama watu wazima kuchangia hoja hii.