Watakao maliza form six kupitia JKT 02 March 2013

safi sana vijana wetu wataacha kuvaa mlegezo, kusuka viduku, heleni nk maana watakuwa na maadili vipi wale wenye TATUU?
 
nosense ideas..kwa sababu zipi za kupeleka vijana jkt kama uzalendo hao mliowapeleka zamani ndo wala rushwa na mafisadi wa kunuka kwenye serikalini yenu ya kindugu..mnajipa artenative way za kuingiza pesa za walipa kodi..kupoteza hela bure za walipa kodi bora mngezingiza hizo hela kwenye bodi ya mkopo mngewasaidia kweli hao vijana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…