Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki.
Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya kiserikali yaendelee kama kawaida huku huduma za Wananchi zikiendelea napendekeza kwenye Baraza la Kijeshi litakaloongoza nchi kwa kipindi cha mpito, Watu hawa wasio na vinasaba vya kisiasa na makandokando yasiyopendwa na Wananchi watumiwe na Jeshi kama sehemu ya Serikali ya Mpito
Watu hao ni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento pamoja na Prof. Assad.
Jeshi letu msishawishike kwa namna yeyote ccm kuendelea kuwa madarakani kuanzia leo hii.
Jitokezeni, tangazeni mmechukua nchi na anzisheni hili Baraza la mpito la uongozi wa kitaifa mkishirikiana na hawa kwenda kulipatia Taifa Katiba Mpya iliyo bora inayosimika mifumo imara.
Mwisho muachieni Tundu Lissu na mateka na wafungwa wote wa kisiasa ili washirikiane nao vizuri kulijengea Taifa letu mifumo imara ya Kikatiba