GE2025 Watakaochukua nchi, kwenye baraza lenu la mpito watumieni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento na Prof. Assad

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki.

Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya kiserikali yaendelee kama kawaida huku huduma za Wananchi zikiendelea napendekeza kwenye Baraza la Kijeshi litakaloongoza nchi kwa kipindi cha mpito, Watu hawa wasio na vinasaba vya kisiasa na makandokando yasiyopendwa na Wananchi watumiwe na Jeshi kama sehemu ya Serikali ya Mpito

Watu hao ni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento pamoja na Prof. Assad.

Jeshi letu msishawishike kwa namna yeyote ccm kuendelea kuwa madarakani kuanzia leo hii.

Jitokezeni, tangazeni mmechukua nchi na anzisheni hili Baraza la mpito la uongozi wa kitaifa mkishirikiana na hawa kwenda kulipatia Taifa Katiba Mpya iliyo bora inayosimika mifumo imara.

Mwisho muachieni Tundu Lissu na mateka na wafungwa wote wa kisiasa ili washirikiane nao vizuri kulijengea Taifa letu mifumo imara ya Kikatiba
 
Jeshi liko compromised, Rushwa ni mbaya sana, Huyo Nkunda asingekubali kutumika na hao mbwa , Leo hii asingekua anawaonea aibu..ila alijikaanga kwa mafuta yake mwenyewe..hawezi kuchukua nchi , na nilazima nayeye asalimiwe na WANAJESHI wazalendo
 
Jeshi halipo compromised.

Muda huu Jeshi linatuongoza Wananchi kutoka Mbezi uelekeo ni Ikulu Magogoni.

Stay tuned.

Mungu anaiokoa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi na wauaji ccm.
 
Jeshi liko compromised, Rushwa ni mbaya sana, Huyo Nkunda asingekubali kutumika na hao mbwa , Leo hii asingekua anawaonea aibu..ila alijikaanga kwa mafuta yake mwenyewe..hawezi kuchukua nchi , na nilazima nayeye asalimiwe na WANAJESHI wazalendo
Siku zote katika jeshi wanao chukua nchi ni wenye vyeo vya chini hao wakubwa wako pamoja na viongozi serikalini. Hapo ni itokee Captain yoyote atoe tamko
 
Hata kama alipewa mali na fedha kiasi gani! Afanye jambo la maana na wananchi watamlinda. Nchi ikishakuwa kwenye mikono ya wazalendo hao mafisadi watakuwa hawana uwezo wa kumfanya chochote.
 
Siku zote katika jeshi wanao chukua nchi ni wenye vyeo vya chini hao wakubwa wako pamoja na viongozi serikalini. Hapo ni itokee Captain yoyote atoe tamko
Stay tuned.

Nchi inakuwa mikononi mwa Wazalendo wetu tunaowapenda sana leo hii.

Acha kukaa ndani. Njoo tuelekee Ikulu muda huu. Jeshi letu pendwa linatulinda
 
Stay tuned.

Nchi inakuwa mikononi mwa Wazalendo wetu tunaowapenda sana leo hii.

Acha kukaa ndani. Njoo tuelekee Ikulu muda huu. Jeshi letu pendwa linatulinda
Mkuu ebu mjaribu kutumia Thunder VPN nasikia inafanya vizuri ,kama ni jaribu kusambaza huu ujumbe. Server choose Germany au Netherlands. Tumieni Vodacom nasikia inafanya
 
Sioni dalili zozote zile za jeshi kuchukua nchi.
Kumbe wewe ni chai.. raisi anapishwa jumanne. Kitu muhimu sambazeni face mask. Wahalifu wenu wanaonekana . Tukimqliza kukuqpisha Raisi tuna deal nao mmoja baada ya mwengine.. na hamna atakayerudinuraiani fiorever
 
Mnamuapisha atawale wapi? Nyumbani kwake au huko alikokimbilia nje ya nchi?

amka toka usingizini, Tanzania sio tena getho lenu mafisadi
 
Prof Assad na Butiku BIG NO...waliyumba hapa kati..watu mbona wapo wengi
Dr Hellen Kija Bisimba
MZee Jeneral Ulimwengu
Mama Nkya
..watu wapo
 
imekaa vizuri kwa Prof Assad nashauri akae prof shivji watafuttwe na wastaafu wastaarabu wa majeshi Mwamunyange, Mabeyo IGP Mangu
 
Hapo naongezea Prof Shivji. Warioba anaweza kuwa rais wa mpito akifanya kazi kwa maelekezo ya jJeshi. Wengine wawe washauri wakishughulikia kukamilisha Katiba mpya, kuunda Tume Huru ya uchaguzi, na kuandaa uchaguzi wa kweli ambao ufanyike ndani ya miaka miwili. Hata watu walioku
Mada nzuri inayotoa mawazo ya kujenga. Mtu anaweza kuongezea au kukosoa kadiri anavyoona. Mimi ningeenda mbali zaidi na kupendekeza Warioba awe Rais wa mpito akifanya kazi chini ya maelekezo ya Jeshi. Wengine wawe washauri wakuu. Kazi muhimu kwa serikali hii ya mpito iwe kukamilisha Katiba Mpya na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi. Kazi hii ikamilike ndani ya miaka miwili na uchaguzi ufuatie mara baada ya hayo kukamilika. Kwenye washauri napendekeza hata watu waliokuwa CCM ambao walianza kukosoa tangu wakiwa huko. Hao ni pamoja na Polepole, Mpina, Malisa na Gwajima. Pius Msekwa na Captain Tesha pia wawemo. Kuwemo kwa watu hawa ni kwa sababu wanafahamu yaliyokuwa yakiendelea serikalini. Hivyo tutumie ufahamu wao. Kujitoa mhanga kwao kunastahili kuenziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…