GE2025 Watakaochukua nchi, kwenye baraza lenu la mpito watumieni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento na Prof. Assad

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Civil service ina kila mtaalamu wa kuendesha serikali, matter of fact ndio wanaofanya hiyo kazi kila siku.

Sasa sidhani ikitokea jeshi likachukua nchi litafukuza senior civil servant wote doing administration work. Mafisadi ya upande huo pia can easily be replaced.

Hakuna ugumu wowote wa kuendesha nchi, watu ambao hatuwahitaji ni wenye mawazo yaliyopitwa na wakati.

Surely kuna legal scholars wa constitutional law serikalini na politics studies; Warioba, Assad et al wametumikia taifa vya kutosha wapumzike.

You can’t teach an old dog new tricks, tunahitaji watu wenye fikra za dunia ya leo; and those people don’t cut it.
 
Hapana

This old cream is needed to bring back sanity to the civil service and to guide it accordingly

For your information CCM compromised almost everything in the civil service. Wengi wamegeuka kuwa watumishi wa ccm kuliko Taifa na wananchi.
 
Hapana

This old cream is needed to bring back sanity to the civil service and to guide it accordingly

For your information CCM compromised almost everything in the civil service. Wengi wamegeuka kuwa watumishi wa ccm kuliko Taifa na wananchi.
Taifa linahitaji kuvunja culture ya muda mrefu ya ufanyaji mambo. Old school thinking haiwezi kuwa suluhisho ndio iliyotufikisha hapa.
 
Prof Assad na Butiku BIG NO...waliyumba hapa kati..watu mbona wapo wengi
Dr Hellen Kija Bisimba
MZee Jeneral Ulimwengu
Mama Nkya
..watu wapo
Butiku ndo alikengeuka mwishoni baada ya kulambishwa asali na abdul na kuahidiwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya maridhiano baada ya uchaguzi.

Prof Assad ni mzuri. Shida yake ana vi element vya udini ila akiwekwa sawa kusimamia maslahi ya Taifa hana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…