Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

Aliyesimamia mabadiliko hayo ili kujiongezea muda, ni Mbowe mwenyewe.

Jiulize, leo hii kwa kuzingatia machawa waliopo, Samia akitaka kubadilisha katiba ili kujiongezea muda, kuna mtu ndani ya CCM ataweza kulizuia hilo? Unatarajia wanufaika wote wanaomzunguka, kuna watakaosa kumwunga mkono dhidi ya, pengine mtu mmoja tu anayekataa?
 
Siasa ni sayansi! Mbowe amechelewa kuchukua fomu, akisubiri kujitokeza mtu makini.
 
Mbowe, kiuhalisia, hata kuwepo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 21, tayari ame-over stay. Angekuwa na hekima asingeendelea kuing'ang'ania nafasi hiyo tena.

.
Leo Mbowe kathibitisha pasipo na shaka kwamba yeye ni pandikizi na afisa mtiifu wa watu flani. Same caliber na akina Momose Cheyo, Lipumba na Lyatonga Mrema

Ewe mwana CHADEMA, shtuka na usikubali tena kupigwa bomu au kuvunjwa mguu kukitetea Chama ambacho kiongozi mkuu alishakuwa signed na mfumo toka zamani
 
Mbowe na hao wahuni wenzake wana project na CCM. Mbowe ni mhuni na ukimzingatia unapoteza muda wako bure. Sasa angalia na wanaomshabikia ndipo utachoka kabisa
Jambazi la kisiasa
 

nilitegemea nguvu inayotumika leo hii kupinga mbowe kugombea (tena) ingetumika kupinga kuondoa ukomo wa uongozi, tena tundu lisu angeongoza lkn kipindi kile alisapoti na walitafuta explaination kujustify mbowe kuiondolea ukomo wa uongozi, sasa leo hii ameamua kugombea hakuna kifungu cha katiba alichovunja.

domokrasia ni ngumu sana kuiishi …
 
Yaani siwezi hata kujigusa eti nisapototi chadema
 
Binafsi nilimpenda sana sana Lissu hadi nilipoona si mtu wa kudhibiti hisia na shari. Msigwa anampotosha vibaya sana Lissu. Lissu anaivaa shari ya Msigwa bila tahadhari. Mkuu wewe ni miongoni mwa wanaJF ninaowaheshimu sana humu jukwaani, naamini una upeo wa kuchambua vitu bila ushabiki, tuweke akiba ya subira tutakuja kukumbushana hapa siku moja.
 
Hadi sasa quarter of life ya Mbowe kukiongoza chama kwa misingi yake kilivyokuwa is over.

Mpaka sasa jamii kubwa ya wana CHADEMA washasanuka kuwa FAM yupo hapo kwa manufaa yake wala si kwa wananchi.

Ikumbukwe hata maandamano aliyokua anaitisha lengo na madhumuni ilikua ni kujinadi yeye na malipo yake kashapata ndio maana LISU amesanuka.
 
Kiukweli Kiongozi Bams,HOJA zako huwa nazielewa sana..endelea kuelimisha maelfu ya Watanzania waliopo kwenye platform hii

Nirudi kwa Mh Mbowe...umechelewa kusoma ALAMA za nyakati na pia hukujua NGUVU na MIKAKATI ya ndugu Lissu..mwenzio amewekeza kwenye grassroot pia hoja zake zinaeleweka kirahisi..kiufupi hajawahi KUYUMBA
 
Hahaha nyie watu gani mnaopigia kelele haki na demokrasia, huko ccm na serikali yake, ikifika kwenu hamuitaki tena.
 
2 Billions za mwezi Nov Double Agent kazipeleka wapi ?
Mwenzie kaenda kuupumzisha moyo.
 
Kwa CHADEMA Hii wakuu ni heri CCM itutawale Milele, CCM chondechonde msituache watanzania wenyewe!
 
Mtemi Mbojo, hata kama Lisu amewekeza kwenye grassroot, sina uhakika kama hao viongozi wa kwenye grassroot ni wapiga kura kwenye kumchagua mwenyekiti. Kama wanashiriki kwenye uchaguzi, na Lisu akashinda, hiyo ndiyo itakuwa pona pekee ya CHADEMA.
 
Mtemi Mbojo, hata kama Lisu amewekeza kwenye grassroot, sina uhakika kama hao viongozi wa kwenye grassroot ni wapiga kura kwenye kumchagua mwenyekiti. Kama wanashiriki kwenye uchaguzi, na Lisu akashinda, hiyo ndiyo itakuwa pona pekee ya CHADEMA.
Nakubaliana na wewe kiongozi, hakika ni MTEGO, ni hao wajumbe 1000+ wa mkutano mkuu waende na Mbowe wakiue chama or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…