Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo.
Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili achaguliwe. Wananchi wamemtimua na mchele wake. Wanataka jobs na sio mchele. Wanataka jobs sio kofia na mashati.
Wakuu mnalionaje hili.
Liko poa eti eeeeeeeeeee. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂