Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
πππππππWengine huwa ni "mabubu" hadi mgombea urais wao afike kuwaombea kura.
Nadhani ni Nigeria, nimeiona hiyo clip wanarudisha viroba vya mchele kwenye gari lake.Ilikuwa jimbo gani hill
Funzo kubwa sana
Hiyo serikali kuu (rais)hana hiyo job opportuties sembuse mbunge?!!itakuwa kumuionea tu!!na kwa wapiga kura gani waliopo wa kuangalia hayo?mtaji wa CCM, ni umasikini wa wapiga kura!!Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo.
Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili achaguliwe. Wananchi wamemtimua na mchele wake. Wanataka jobs na sio mchele. Wanataka jobs sio kofia na mashati.
Wakuu mnalionaje hili.
Liko poa eti eeeeeeeeeee. ππππππππππππππππππππππ
πππππππππππWaje na job opportunity wakati wanaingia madarakani kwa wizi wa kura? Kama tumeshakubali chaguzi zetu kunajisiwa, bila machafuko tutaendelea kupata hata wasiowajibika kwa wananchi bali kwa serikali.
Kuna mwaka tulisikia waliwapeleka nje kutumikishwaWatakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
CCM inawatumia kipindi cha kampeni kikiisha basiWatakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.