Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wewe unae taka mpya,hiyo mpya umefundishwa na nani na wapi?Hapo ni mapigo tu mkuu, hilo fungu nawaza jinsi ya kulifikia hata sielewi nijipachike wapi hapo, hata niwe influencer uchwara, chawa japo sio maisha yangu ila nitafanyaje sasa na wakubwa washaamua hiyo hela lazima iliwe.
Sijakuelewa Boss, hembu soma tena comment yako kama kuna cha kuhariri uhariri ili nikuelewe.Wewe unae taka mpya,hiyo mpya umefundishwa na nani na wapi?
Ebu sema ukweliSijakuelewa Boss, hembu soma tena comment yako kama kuna cha kuhariri uhariri ili nikuelewe.