Watakaolipwa pesa miaka mitatu kufundisha katiba, watafundisha mpya au ya zamani? Wao wamesomeshwa wapi wanachokwenda kukifundisha?

Watakaolipwa pesa miaka mitatu kufundisha katiba, watafundisha mpya au ya zamani? Wao wamesomeshwa wapi wanachokwenda kukifundisha?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tunatenga miaka mitatu ya kufundisha katiba, hii ni katiba inayokuja au iliyopo?

Je, waliopendekeza hii elimu ya miaka mitatu ni vyama vya siasa au ni chama cha mapinduzi?

Kama ni katiba ya zamani kwanini wanaamini tunatakiwa kuifahamu wakati agenda ni katiba mpya?
 
Hapo ni mapigo tu mkuu, hilo fungu nawaza jinsi ya kulifikia hata sielewi nijipachike wapi hapo, hata niwe influencer uchwara, chawa japo sio maisha yangu ila nitafanyaje sasa na wakubwa washaamua hiyo hela lazima iliwe.
 
Wahuni hawa, hivi bunge la katiba lililopita walitumia bilioni ngapi vile, igawanye kwa hao wahusika uone kila mmoja alipata bei gani, hawana hela Chadema
 
Hapo ni mapigo tu mkuu, hilo fungu nawaza jinsi ya kulifikia hata sielewi nijipachike wapi hapo, hata niwe influencer uchwara, chawa japo sio maisha yangu ila nitafanyaje sasa na wakubwa washaamua hiyo hela lazima iliwe.
Wewe unae taka mpya,hiyo mpya umefundishwa na nani na wapi?
 
Hao wakufunzi watakuwa wakina nani?
 
Wengi wetu hatufahamu hata katiba yetu inasemaje paragraph kwa paragraph, nukta kwa nukta, kipengele kwa kipengele, LAKINI TUNATAKA KATIBA MPYA!!! 😁😁😁
lazima tupate katiba mpya!. Unyumbu kitu mbaya Sana.
 
Ni basi nane demokrasia napo wenye wanatupigia hapohapo. Wenye uwelewa wa kupiga kura au kujadili kuhusu Katiba mpya hawafiki hata milioni moja.😃😃 Najaribu kumuwazia mama yangu pale Kijijini hivi kuhusu Katiba hata umuelimishe vp kitakuwa na jipya. Wachache wenye akili wangewakilisha kwenye kuchagua viongozi wa nchi na ishu ya katiba
 
Back
Top Bottom