Sasa nikupe story ndugu yangu,Kuna my blood friend Katia nia kugombea udiwani huko kwao,kafika kwa katibu wa chama kata as kiongozi lakini Kama mzee wake coz huwa anamsaidia mambo mengi,katibu alifurahishwa Sana na maamuzi ya kijana msomi kutaka kuacha ajira yake ili aitumokie jamii yake coz ile kata inasuasua mno,mzee akampa mchoro wa namna ya kuwin the Battle kuwa walau ajitahidi atafute hata kiasi kidogo kwa ajili ya kuwakamata japo hata wajumbe 30 wa mkutano mkuu na kamati nzima ya siasa.
Sasa ukweli uliopo ni kwamba diwani aliyemaliza muda wake amefeli pakubwa mno kuisogeza ile kata maana hata elimu yake aliishia la 4,ni mzee tu Sasa lakini bado anataka Tena,na Kila Kona kachokwa mpaka kiongozi wa chama,huyu jamaa yangu ndiye mwenye CV nzuri Sasa.
Nilichokigundua mpaka Sasa ni kwamba wananchi wengi bado wanna uduni wa ufahamu kuwa rushwa kwao ni sehemu muhimu ya uchaguzi hivyo nao walau wanataka chochote.
Katika situation Kama hii,Kuna usafi wowote katika michakato hiyo?