Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

Na huku kwetu tujiandae, ili kumfurahisha bwana wao napo watakuja na upuuzi wa kuifungia pia.
 
Na huku kwetu tujiandae, ili kumfurahisha bwana wao napo watakuja na upuuzi wa kuifungia pia.

Sisi hatuna control na data ambazo zinakuwa collected na social media. Hakuna team inauojali hilo so hakuna litalotokea
 
Sisi hatuna control na data ambazo zinakuwa collected na social media. Hakuna team inauojali hilo so hakuna litalotokea
Kwanza hata zetu zikiuzwa hakuna cha maana watakachoambulia zaidi ya udaku na ufuska tu
 
Nzuri sana Na zinakuja video viral kwa jinsi unavyozipendelea mfano kama unapenda complications za wanyama basi ukizitazama muda mrefu zinazidi kuna hizonza wanyama kama unapenda comedy zinakuja za comedy..nakushauri download tiktok ni nzuri sana wasanii underground hawawez tupia clip zao zote YouTube nyingi wanaupload tiktok..mfano msanii anaitwa txdulla,ndaro mjeshi,n.k wa Cheka tu wote video zao nyingi tiktok
Mtakata sana mauno tiktok
 
Back
Top Bottom