Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za vyama nk - hawa Wakatoliki wakiandamana, Polisi kuweni wavumilivu kama mlivyokuwa wavumilivu kwa “Wakatoliki” hawa.
Sisi Wajaluo tunaamini kuwa chuki dhidi ya Ukatoliki inayoendeshwa kwa mikakati mibovu, ina nia mbaya dhidi ya serikali kuliko ilivyo na nia mbaya dhidi ya Ukatoliki.
Kupigana na Ukatoliki ni lazima uwe na dini nyingine ndani yako inayokusukuma kupigana vita hiyo. Wajaluo “tusiotahiriwa” tunajiuliza hiyo dini ni ipi
Haya ni maneno ya Dr. Bagonza Kalikawe