Elections 2010 Watake wasitake MIMI ndiye RAIS

Elections 2010 Watake wasitake MIMI ndiye RAIS

Ilianza "hata tusiposhinda, tutajishindisha"

Ikafuta" Ushindi ni Lazima"

Ikaja " Tutashinda kwa gharama yoyote"

Hapa tunajifunza nini

Hivi wewe huwajui wanasiasa? Kwani kuna mwanasiasa aliyekwambia hashindi yupo kwa ajili ya kushindwa? Si CDM si CCM walikuwa na kauli zinafanana unless you are out of the country. Source ya CDM kugomea matokeo ya urais is partly due to uhakika waliokuwa wa kushinda na si hivyo wanavyoeleza.
 
Nchi haiendeshwi kwa misingi ya kidemokrasia wala tusiwadanganye wageni na wasiojua mambo yanavyoenda!
 
....Kweli kabisa maana, MUME WA MAMA NDIO BABA HUYOOOO

Lakini watoto wakimkimbia kama hawataski kumsikiliza ni aibu kwa huyo baba hata wakienda wakirudi wewe ndio baba! Kifupi unakuwa baba fake
 
Ilianza "hata tusiposhinda, tutajishindisha"

Ikafuta" Ushindi ni Lazima"

Ikaja " Tutashinda kwa gharama yoyote"

Hapa tunajifunza nini

Maneno hayo yalikuwa na maana hizi :
1. Yeye ndio Rais aliyechaguliwa na watanzania walio wengi kwa ushindi wa kishindo
2. Yale CHADEMA waliyokuwa wanayataka hayato timia bila yeye. Na hili limeanza kujidhihirisha kwani CHADEMA wameisha anza kulamba viatu vya CCM kwa kutaka nao mazungumzo. Na wao wamesema mazungumzo na CHADEMA ni ya nini
3.Yeye ndio Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sasa mtu afanye fujo aone atakavyo sulubiwa vibaya
 
It is real dictatorship. If NEC voted in for Kikwete badala ya voters isn't that dictatorship already? overriding citizens' decisions is what is called dictatorship
It is not dictatorship, but treasonous - an overthrow of the peoples decision by the CCM fisadis. History will judge NEC, TISS and CCM for what they have done to democracy.
 
....Kweli kabisa maana, MUME WA MAMA NDIO BABA HUYOOOO
Mama anaweza kuwa na waume zaidi ya mmoja KWA NYAKATI TOFAUTI.................. KUMBUKA KUNA BABA WA KUFIKIA .................... NAMKANA ANY TIME .....t
 
it was plain and clear: that they will win by any means-being kuchakachua or even force....maana yake walijua kuwa kushinda kwao wasnt that possible. it is too bad that when he was making such statements, hatustuka, we should have read between the lines then....but CCM and its leaders will not last long. Na hilo wanalijua...
 
kwa taarifa yenu kura mwaka huu hazijaibiwa kabisa. TUKAE TUOMBE MUNGU CHAGUZI ZIWE HIVI TUJE TUSHINDE NA SISI ILA WAKIAMUA KUIBA HAWA JAMAA MTANIAMBIA NYIE TUJUPANGE LAKINI WANATISHA WAKIAMUA MWAKA HUU ILIKUA FAIR TATIZO NI LA UJUMLISHAJI NDIO SHIDA ILIKUWA lakini hakukua na wizi
 
Back
Top Bottom