Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
- Thread starter
- #61
Nimewaelewa wote Wana JF hapa nimejifunza mengi kwanza Uvumilivu,Kuwa na Imani na mwenzangu, kuchakachuliwa ni unkwepable, Sipaswi kusikiliza kila ushauri, Nikipata ushauri niamuwe mwenyewe, Niache kuwa na Wivu,niwe mtu wa kuamini hata kama hakuna watu wanachakachua.
Kupima Afya ndio ushauri ulioongoza hapa ikionesha jinsi tunavyojali kwani ugonjwa wa ukimwi ni hatari na unaua!
Nashukuru sana kwa michango yenu inazidi kunijenga!
Kupima Afya ndio ushauri ulioongoza hapa ikionesha jinsi tunavyojali kwani ugonjwa wa ukimwi ni hatari na unaua!
Nashukuru sana kwa michango yenu inazidi kunijenga!