Watalaam tufanye tafiti ni vipi tunaweza kuiongezea thamani kinywaji cha mnazi (tembo)

Watalaam tufanye tafiti ni vipi tunaweza kuiongezea thamani kinywaji cha mnazi (tembo)

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa wasioijua pombe ya mnazi ni pombe asilia 100% toka mbinguni yaani inagemwa toka katika mnazi inadondokea kama vile zao la mpira matone matone ni kinywaji changu niwe mkweli kwa hapa Lindi kuna mzungu mmoja alikujaga akawa kila siku anawekewa order ya lita tano.

Katika kuifuatilia nikajua nchi, a Caribbean na hata pwani za Asia kama Philippines, Cambodia. Na huko American Cuba na Jamaica huwa, inauzwa kabisa bar unakuta ipo kama bia na bei yake iko juu imechangamka.

Sasa huku Tanzania kweli watalaam tumeshindwa kuhifadhi na kuitunza. Ni wazo hili ila mimi sijui pa kuanzia. Ina gas sana ila siamini kama hatuwezi kubuni mbinu kuongeza unywaji na kukuza uchumi wa buluu.

DSC_0570.JPG
 
Back
Top Bottom