imaney nakuona ujue, acha kuangalia hizo vitu hapo....kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
Bado hujaelewa nini. weka sawa usichoelewa. Lugha iliyotumika au kilichoongelewa?Bado sijaelewa.