watalaam wa kuhack....

watalaam wa kuhack....

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
 
Kwa ufahamu wangu ni kweli kwa kiasi fulani na sio kweli kiasi fulani kutokana na facts zifuatazo
  1. Unaweza kujua location (Geo-Location) ya laptop kama ina GPS services au kutumia minara ya simu (Base Radio Station). Unahitaji Internet connection kwa GPS na unahitaji active call kwa minara wakati unatrack au kutumia internet ya minara
  2. Kujua unachokifanya unahitaji camera kwenye laptop. Mara nyingi webcam ya laptop inawaka taa wakati camera inafanya kazi so utajua. Na laptop haina eneo kubwa la view wakati wa kurecord.
  3. Ili vitu vyote hivi vifanyike unahitaji internet, additional softwares or hardware, camera au webcam.
NB: Kuwa makini na software unazoinstall na ambazo hujainstall kwenye laptop yako au weka antivirus nzuri inayoweza kusema kama some one is spying on you or spying softwares have been installed.
Usiogope kutumia laptop yako maana kwa nchi kama yetu hii ni wachache tunaweza kufanya mambo kama hayo.
 
kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
imaney nakuona ujue, acha kuangalia hizo vitu hapo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom