FungukaUshaula broo! Laizer atakuzidi vibilioni viwili hivi!
Nahisi ni amethyst ni quartz ya pink haina thamani kubwaHabarini wakuu. Naomba mwenye uelewa haya yatakua ni madini gani!?View attachment 1491001View attachment 1491002View attachment 1491006
FungukaNenda bot ukachukue noti
Bei kama dollars ngapi hiviNahisi ni amethyst ni quartz ya pink haina thamani kubwa
$5
Hilo hadi lisingekuwa na impurities maana yake lilitakiwa liwe linang'aa hadi ndani lisiwe na mipasuko hapo ungepata pesa kidogo ila usilinganishe na Tanzanite, pesa ya Amethyst ni ndogo tu.
Subiri wajuvi waje mimi nimetania tu.Halafu madini kipimo chao si carats.
Unajua hapa ninazo kilo tatu za hii issues kwaio naweza pata vochaSubiri wajuvi waje mimi nimetania tu.Halafu madini kipimo chao si carats.
1 carat=0.2 gram/0.0002kg.
Search labda uone price yake per carat.
Utapata ngoja geologists waje wakupe mainfo.Unajua hapa ninazo kilo tatu za hii issues kwaio naweza pata vocha
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Wa tag mkuuUtapata ngoja geologists waje wakupe mainfo.