MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 430
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mrangi ndo anayajua..mie najua dhahabu mkuuWangari Maathai unaweza kumpa mwanga kidogo huyu. Au utaweza kuwaita wenzio mnaojadili masuala ya madini, mi siwakumbuki.
M tag aje mkuuHayo mrangi ndo anayajua..mie najua dhahabu mkuu
Utajiri haushout mkuu😄
Hahaaaaaaa kwanini chiefUtajiri haushout mkuu[emoji1]
Ungekuwa ni hela yasingeka ndani
Ilikua last week niliyapata mishe fulani hivi kwaio utafiti wa awali nilipata jibu kuwa haya lowest price kwaio si kutaka kuhangaika sana.Ungekuwa ni hela yasingekaa ndan
Si mbaya utauza..Ilikua last week niliyapata mishe fulani hivi kwaio utafiti wa awali nilipata jibu kuwa haya lowest price kwaio si kutaka kuhangaika sana
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Watauona uzi tu.
umeyatoa sehemu au mkoa gani? maana ni ngumu kusema exactly ni nini kwenye picha.Habarini wakuu. Naomba mwenye uelewa haya yatakua ni madini gani!?View attachment 1491001View attachment 1491002View attachment 1491006
Amethyst mkuu, bei yake sijui ila ukienda kwa wataalam najua watakwambia
Fursaumeyatoa sehemu au mkoa gani? maana ni ngumu kusema exactly ni nini kwenye picha.
Hizo taarifa za sehemu (location) alikochimba ni muhimu kwa wataalam wa madini kama geologists.Fursa