Watalamu ugonjwa wa ndonda ni ugonjwa gani?tiba yake nini.

Tuliponga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
190
Reaction score
49
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.

Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo.

Tatizo ni huu ugonjwa wa ndonda ambao kwa mara ya kwanza nimeambiwa kuwa ninao..Je ndonda ni nini?na inatibiwa na dawa gani?.
 
Pole sana mkuu,nitafute pm ili tuwasiliane kuna dawa ya asili inayoponesha vidonda hivyo.
 
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.

Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo.

Tatizo ni huu ugonjwa wa ndonda ambao kwa mara ya kwanza nimeambiwa kuwa ninao..Je ndonda ni nini?na inatibiwa na dawa gani?.
 
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.

Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo.

Tatizo ni huu ugonjwa wa ndonda ambao kwa mara ya kwanza nimeambiwa kuwa ninao..Je ndonda ni nini?na inatibiwa na dawa gani?.
 
ise habr kijana Nina tatzo kama hilo apo juu naomba tuwasliane kwa no0752319099
 
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.

Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo.

Tatizo ni huu ugonjwa wa ndonda ambao kwa mara ya kwanza nimeambiwa kuwa ninao..Je ndonda ni nini?na inatibiwa na dawa gani?.
Nitafute mimi nikupe dawa utumie siku 30 utapona kabisa vidonda vyako vya tumbo na utakula chakula chochote kile ukipendacho.Ukihitaji matibabu toka kwangu.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Back
Top Bottom