Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.
Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo.
Tatizo ni huu ugonjwa wa ndonda ambao kwa mara ya kwanza nimeambiwa kuwa ninao..Je ndonda ni nini?na inatibiwa na dawa gani?.