Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

Sengimisoji

Senior Member
Joined
Feb 2, 2022
Posts
128
Reaction score
209
Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni.

Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo limekazana kuvuta chini ya kinena, ndo kufanya untrosound majibu yametoka na placenta privia imeziba njia yote ya uzazi!

Na tayari nishaanza kivunja damu kidogo inakata kesho Tena inatoka hatua hiyo naweza kufikia hata wiki ya 28 tutoe watoto hata wakiwa njiti kweli?

Sijapewa dawa yeyote hospital...nn madhara ya hiyo placenta privia na inasababishwa nini?
 
Naona umekitaja kinena maradufu tena muharab kabisa..πŸ˜‹
Anyways......
Kwa maelezo yako, upo kwenye hatari ya kuwapoteza watoto ama wewe mwenyewe kutoweka.
Kwa tafasiri rahisi nikwamba watoto wamefungwa na kitovu shingoni kutokana na wingi wa maji kwenye mfuko wa uzazi.
Hakuna kitakacho kusaidia zaidi ya upasuaji.
Fanya haraka ukamuone Dr bingwa wa wamama ili tuzae salama.
 
Lkn wiki 24 bado wanaweza kuishi kweli?? Kwahali niliyonayo naweza kufikisha wiki 28 kweli ili tuwaokoe watt au ndio haiwezekani,? Kupoteza uhai dah
 
Lkn wiki 24 bado wanaweza kuishi kweli?? Kwahali niliyonayo naweza kufikisha wiki 28 kweli ili tuwaokoe watt au ndio haiwezekani,? Kupoteza uhai dah
Wanaishi kama ana pesa hospital kubwa zina vifaa mashine ila gharama yake Sasa mh maana inabidi wakae mpaka miezi 9 wakue yaani asilimia za kupona chache na gharama kubwa Mungu amsaidie TU ila kwa kibongo bongo mh analamba kisu na watoto anakosa kikubwa uhai.
 
Kama Damu Ni Nyingi sana au si Nyingi ila Inatka Frequently Hapo hakuna Chaguo Tena inahitahika C/Section ya Haraka (Emergency one) na Angalau Unit kadhaa za Damu..

Wahi Hospitali Na Watakuelekeza Cha kufanya Kuvuja Damu During Placenta Previa Sio Kitu cha kufumbia macho hata kidogo ulipaswa kuandika Ujumbe huu Ukiwa Hospitalised tayari..

Pole sana lakini Bleeding During any stage of Previa Haijalishi site yake, Its an Emergency case
 
Siku hizi naujua umuhimu wako barikiwa
 
Lkn wiki 24 bado wanaweza kuishi kweli?? Kwahali niliyonayo naweza kufikisha wiki 28 kweli ili tuwaokoe watt au ndio haiwezekani,? Kupoteza uhai dah
Kama una pesa ndefu inawezekana kama hauna kubali kuwapoteza uokoe uhai wako na bado hata ukigharamika wanaweza pia wakapoteza uhai ni gharama mno maana inabidi waishi hospital kwa miezi yote mpaka wawe vizuri kwenda home unalipia machine kila siku Aga Khan Hospital ipo Shem wangu miaka almost 10 na kitu alikuwa analipa almost million per day mimba ilikuwa na shida week 24 mpaka Dr wakamwambia mkeo aende nyumbani awe anakuja kushinda kunyonyesha aondoke gharama sana kulala mtoto alikaa week 24 mpaka 40 weeks ndo akatoka na nyumbani akaelekezwa namna ya kuishi nae kalikuwa kakubwa mpaka kuanza nursery masikini kakafariki kwa Malaria ila Baba yake aliyumba kiuchumi mpaka leo hayuko sawa kipesa na kiakili maana hajapata tena mtoto.

Ulaya wana vifaa watoto wana survive huduma nzuri.

Yaani clinic tu hutoa elimu dalili hatarishi unatoka damu ilitakiwa ukamuone Dr haraka sana nakutakia kila la kheir mtake msamaha Mwenyeezi Mungu muombe akufanyie wepesi.
 
Wahi Hospital Upate Msaada Haraka Watoto Ni Nguvu Kazi Ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…