Sengimisoji
Senior Member
- Feb 2, 2022
- 128
- 209
Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni.
Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo limekazana kuvuta chini ya kinena, ndo kufanya untrosound majibu yametoka na placenta privia imeziba njia yote ya uzazi!
Na tayari nishaanza kivunja damu kidogo inakata kesho Tena inatoka hatua hiyo naweza kufikia hata wiki ya 28 tutoe watoto hata wakiwa njiti kweli?
Sijapewa dawa yeyote hospital...nn madhara ya hiyo placenta privia na inasababishwa nini?