Sengimisoji
Senior Member
- Feb 2, 2022
- 128
- 209
- Thread starter
- #21
AsanteKama una pesa ndefu inawezekana kama hauna kubali kuwapoteza uokoe uhai wako na bado hata ukigharamika wanaweza pia wakapoteza uhai ni gharama mno maana inabidi waishi hospital kwa miezi yote mpaka wawe vizuri kwenda home unalipia machine kila siku Aga Khan Hospital ipo Shem wangu miaka almost 10 na kitu alikuwa analipa almost million per day mimba ilikuwa na shida week 24 mpaka Dr wakamwambia mkeo aende nyumbani awe anakuja kushinda kunyonyesha aondoke gharama sana kulala mtoto alikaa week 24 mpaka 40 weeks ndo akatoka na nyumbani akaelekezwa namna ya kuishi nae kalikuwa kakubwa mpaka kuanza nursery masikini kakafariki kwa Malaria ila Baba yake aliyumba kiuchumi mpaka leo hayuko sawa kipesa na kiakili maana hajapata tena mtoto.
Ulaya wana vifaa watoto wana survive huduma nzuri.
Yaani clinic tu hutoa elimu dalili hatarishi unatoka damu ilitakiwa ukamuone Dr haraka sana nakutakia kila la kheir mtake msamaha Mwenyeezi Mungu muombe akufanyie wepesi.