duh hapo hata Ossama atapatamani na kupandikiza vitu vyake! kwanza ebu tuwe na mtiririko flani, hawa waarabu wapo mbugani,kule kuna ile hotel waliojenga wamarekani,kumbuka viongozi wakubwa wa staes wanafikiaga mle pia wazungu wengi ifluential kama kina abrom mlemle! hatuoni kuna km long term plan hapa? hata km haipo itatekelezwa?sisi hatufagilii wazungu la hasha tunafagilia anaetupatia faida, analinda mazingira yetu, anatuheshimu, asiyekuwa dangerous,sasa hii nchi kina Kikwete wanaipeleka wapi?utauziaje mtu hifadhi ya taifa? imetokea wapi duniani kma si tanzania peke yake? oh Allah have Mercy on us ur children