Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiambiwa hawa ni AL SHABAAB utakataa??na ukiambiwa hiyo ni base yao na ghala lao la silaha je??viongozi wanalala tu na kuishia kubishana kwenye mamikutano yao ya CCM,hiyo nchi uozo mtupu hakyanani.kuingia kwenye terorist list ni lazima kwa mpango huuHii hali ilivyo sasa mbugani waarabu kuweka makazi yao namna hii , Kweli Mmarekani ataweza kuja mbugani na hali ikiwa hivi jamani hii mbona kubwa kuliko ni kwanini tujipotezee mapesa ya wazungu wakati wazungu toka enzi na enzi ndio ambao wamekuwa wakitusaidia,
sisi hata kama hatwendi mbugani kuangalia maliasili zetu ni uwezo tu ila tunazipenda sana tena sana ningependa Mbuga ziheshimiwe waachwe wanyama pekeyao wasiletewe usumbufu.
Lakini kwanini nyinyi tu jamani mbona Kenya haya mambo hayapo? are we stupid? %%%%#####**** griiiiiiiiiiiiiii
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii hali ilivyo sasa mbugani waarabu kuweka makazi yao namna hii , Kweli Mmarekani ataweza kuja mbugani na hali ikiwa hivi jamani hii mbona kubwa kuliko ni kwanini tujipotezee mapesa ya wazungu wakati wazungu toka enzi na enzi ndio ambao wamekuwa wakitusaidia,
sisi hata kama hatwendi mbugani kuangalia maliasili zetu ni uwezo tu ila tunazipenda sana tena sana ningependa Mbuga ziheshimiwe waachwe wanyama pekeyao wasiletewe usumbufu.
Lakini kwanini nyinyi tu jamani mbona Kenya haya mambo hayapo? are we stupid? %%%%#####**** griiiiiiiiiiiiiii
![]()
![]()
![]()
![]()
The issue hapa ni yale yale ya POLITICS OF HATE na NARROW MINDEDNESS ya baadhi ya wachangiaji humu
Je hizo picha zingekuwa za akina Prince William au royal family ya Britain isingekuwa tatizo lakini kosa la hawa jamaa ni asili yao sasa itatafutwa kila namna ya kuwafanya waonekane hawafai and so on
Nyie mshatangaza utaliii ili wageni waje wa kila namna na hawa wanaenda kuwinda hilo lishakuwa kosa?
Kama huko Loliondo hakuna huduma mnazotaka sasa hilo nalo kosa la Sheikh Mohammed?
acheni kuwa na mitazamo finyu...mnajua fika tatizo ni SERIKALI na si jukumu la hao waarabu kupeleka maji na huduma za afya huko hilo ni jukumu la serikali yenu na kama mnatafuta mchawi then huko ndiko kwenye mchawi wenu na si kuanza kutafuta uchawi kusipo
halafu so far sijaona hata tone moja la ushahidi kuwa yote ambayo yanasemwa kuhusu Loliondo ni kosa la waarabu au kwa sababu ni easy target?
If anything wabaya wenu ni hao mnaowatuma wanegotiate hiyo mikataba yenu na bila kusahau wanasheria wenu. Mimi at this moment nishaacha kulaumu external forces kwenye hii mikataba ambayo hamuishi kulalamikia
hebu mie niende nikasome episodes za Kafulila na Zitto.
Mkuu wewe ulitaka kusema nini? Hivi mavazi yao yanakuondoa raha kabisa.. Ulitaka Wasaudia wavae vipi wakienda kuwinda?View attachment 6968
View attachment 6969
View attachment 6970
View attachment 6971
kwa hali hii kweli tusemeje?NI HATARI
mkuu kuna vitu vingi vinafanya nihisi hivyo si mavazi,nahasa hilo swala la uangalizi ni muhimu sana hapo mkuu,hasa hawa waarabu ndo kabisaa hawaaminiki na wala hata respect na sheria za nchi nyingine hawana,kitendo cha mpaka kujenga uwanja wa ndege hapo mbugani lazima kuna ishu tena kubwa ipo nyuma ya ukuta,subiri yatalipuka tu sikumoja,na kina membe km kawaida yao watasema mtutake radhi.babukijana,
Mkuu haiwezekani hawa kuwa AL SHAABAB kutokana na mavazi yao.. Wewe huwezi kuona tofauti ila sisi tunaofahamu na itakuwa kazi nyingine kukufahamisha na nina hakika huwezi kuamini pia. Ila inanipa picha mbaya sana kuona hawa jamaa wakifanya uwindaji pasipo uangalizi wa vyombo vyetu.. Waswahili wanasema trust no one!
Duh, Hizi picha inabidi tujiulize mara kumi kumi...Yaani hakuna mtu wetu kuangalia kinachofanyika...bastola ya nini ktk uwindaji jamani...something isn't right!
Mbaya wetu hapa ni Ali Hassan Mwinyi. Ndiye aliyeamuru Mwarabu apewe
himaya ya Loliondo. Mwuza nchi ni mwananchi.
saa zingine huwa siamini kama ni wewe unayeongea maneno kama hayo...sasa whats the difference kati yako wewe na wengine wenye upeo mfupi wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu au basi tuu ndio katika mambo ya band wagoning?
1) Kuna ubaya gani Sheikh Mohammed na contigency yake kwenda kuwinda Loliondo?
2) Huyo ni kiongozi wa nchi na anatembea na bodyguards wake ambao kisheria wanaruhusiwa kuwa na among other things ni hiyo bastola
3) Je angekuwa Obama ndiye aliyekwenda Loliondo kuwinda na walinzi wake ungequestion kwa nini mmoja kati ya watu wake ana bastola?
4) Je wangekuwa Prince Charles na timu yake ndio wameenda kuwinda kule ungelalamika?