Watalii kutokuja tena Tanzania?

"Man reapeth What so ever he plantenth" sio jambo la busara kuwalaumu waarabu wala wazungu ni hawa "vipofu"wetu ndio wakubeba lawama
 
Ni kweli tunawavutia watalii wa kila namna ikiwa ni wazungu,wahindi,waarabu au weusi wenzetu. Tatizo ni hii staili ya kuwapa hao watalii wajenge makazi ya kudumu ktk mbuga zetu. Ubaya mwingine hao watalii wamemilikishwa mbuga kwa serikali yetu tukutu kuwaondoa wenyeji kijinai na kinyume cha haki za mnyama achilia mbali binadamu. Sasa hivi hapa tunategemea watalii watoke sehemu mbali*2 duniani kuja kumshaangaa mwarabu kwenye mbuga zetu??
 
Duh, Hizi picha inabidi tujiulize mara kumi kumi...Yaani hakuna mtu wetu kuangalia kinachofanyika...bastola ya nini ktk uwindaji jamani...something isn't right!
 
ukiambiwa hawa ni AL SHABAAB utakataa??na ukiambiwa hiyo ni base yao na ghala lao la silaha je??viongozi wanalala tu na kuishia kubishana kwenye mamikutano yao ya CCM,hiyo nchi uozo mtupu hakyanani.kuingia kwenye terorist list ni lazima kwa mpango huu
 

Wawindaji my foot!Hawa wawindaji gani hawa wamekaa militaristic hivyo?They really look like they're on the mission,kwenye training lazima kuwe na degree of serioussness ambayo iko demonstrated na hao watu,ama ni familia za hao matajiri wa mafuta na masultani waliouziwa hizo mbuga?

Hata hivyo given the history and background of Bin Laden bado inatisha maana na yeye alikuwa mtoto wa tycoon na kila alipokuwa akienda alipewa priorities kutokana na pesa lakini kumbe alikuwa na secret mission.Hawa either ni watoto wa masultani wamekuja kucheza na kufanya uharibifu kwenye shamba la bibi ama ni materrorist wanafanya training,ama both.

Na kama ni wawindaji wa kawaida tu,then jambo hili litupiwe macho maana picha hizi hazionyeshi hali ya kawaida ya wawindaji.
 

Mbaya wetu hapa ni Ali Hassan Mwinyi. Ndiye aliyeamuru Mwarabu apewe
himaya ya Loliondo. Mwuza nchi ni mwananchi.
 
babukijana,
Mkuu haiwezekani hawa kuwa AL SHAABAB kutokana na mavazi yao.. Wewe huwezi kuona tofauti ila sisi tunaofahamu na itakuwa kazi nyingine kukufahamisha na nina hakika huwezi kuamini pia. Ila inanipa picha mbaya sana kuona hawa jamaa wakifanya uwindaji pasipo uangalizi wa vyombo vyetu.. Waswahili wanasema trust no one!
 
mkuu kuna vitu vingi vinafanya nihisi hivyo si mavazi,nahasa hilo swala la uangalizi ni muhimu sana hapo mkuu,hasa hawa waarabu ndo kabisaa hawaaminiki na wala hata respect na sheria za nchi nyingine hawana,kitendo cha mpaka kujenga uwanja wa ndege hapo mbugani lazima kuna ishu tena kubwa ipo nyuma ya ukuta,subiri yatalipuka tu sikumoja,na kina membe km kawaida yao watasema mtutake radhi.
 
Duh, Hizi picha inabidi tujiulize mara kumi kumi...Yaani hakuna mtu wetu kuangalia kinachofanyika...bastola ya nini ktk uwindaji jamani...something isn't right!

saa zingine huwa siamini kama ni wewe unayeongea maneno kama hayo...sasa whats the difference kati yako wewe na wengine wenye upeo mfupi wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu au basi tuu ndio katika mambo ya band wagoning?


1) Kuna ubaya gani Sheikh Mohammed na contigency yake kwenda kuwinda Loliondo?

2) Huyo ni kiongozi wa nchi na anatembea na bodyguards wake ambao kisheria wanaruhusiwa kuwa na among other things ni hiyo bastola

3) Je angekuwa Obama ndiye aliyekwenda Loliondo kuwinda na walinzi wake ungequestion kwa nini mmoja kati ya watu wake ana bastola?

4) Je wangekuwa Prince Charles na timu yake ndio wameenda kuwinda kule ungelalamika?
 
Mbona mnazunguka mbuyu tu? semeni tatizo nini. wengine mnakereka na mavazi tu basi, wengine muonekano wao hao jamaa ni militaristic, wengine nchi imeuzwa.

Mnahangaika tu mnashindwa kusema ukweli wenu kuwa tatizo hao ni waislamu na waarabu hivyo hawatakiwi wanaotakiwa hapo ni wazungu tu kwa sababu hao ni wagalatia wenzenu.

Kama mpo objective mngetuletea na picha za wazungu wanaowinda huko, kwani wawindani ni waarabu tu? Na je kuwinda ni ujangiri? Kwani hawana vibali vya uwindaji hao? Na utakuta watia saini wa vibali ndio ninyi wagalatia.

Njoo na takwimu kuna makampuni mangapi ya uwindaji huko na wamiliki ni akina nani ndio mtaona mnavyoongozwa na chuki

Udini tu hamna lolote!

Of all people hata wewe Mkandara?

Haya tuwaone hao wenye haki ya uwindaji basi






http://i249.photobucket.com/albums/gg209/mbuyanzi
/Simba4.jpg





















 
Mbaya wetu hapa ni Ali Hassan Mwinyi. Ndiye aliyeamuru Mwarabu apewe
himaya ya Loliondo. Mwuza nchi ni mwananchi.

kusema hivyo nako ni kuwa simplistic fafanua ni kwa decree ipi Mwinyo aliamuru Mwarabu apewe?


umesahau kuwa Jamii Forums ni home of the "GREAT THINKERS"?
 


Aaah GT wewe acha tu Mkandara anaogopa ataambiwa mdini. Yaani niliposoma hiyo hoja ya bastora nimecheka sana!

Kweli JF ni home of Great Thinkers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…