#COVID19 Watalii na diaspora wanaleta Covid-19 Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.

Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
 
..watu wanapimwa corona kabla ya kutoka Tz.

..wakati wanaingia nchini hawapimwi corona, wanapimwa joto la mwili.

..nadhani kila Mtendaji anamsubiri Jpm atoe msimamo, na yeye ameshasema ameikabidhi nchi yetu ktk mikono ya MUNGU.
 
Tuzungumze mambo kisayansi - Mataifa mengi ambayo yanamwamini Mungu na sayansi wamepiga marufuku ndege zinazo toka Uingereza, Afrika Kusini,Amerika Kasikasini na Nigeria kutotua Nchini mwao - kwa kifupi hiyo inamaanisha raia kutoka Mataifa hayo yenye strain mpya ya virusi vya Corona hawaruhusiwi kuingia katika baadhi ya Mataifa ya Ulaya na kwingineko - sisi hapa tunapata kigugumizi gani kuzipiga marufuku - je,tunajuwa virusi hivi vipya vina ukali gani wa maambukizi na tumejipanga vipi kukabiliana na type mpya, je, ni kweli vinatokana na ku-mutate au wenye malengo yao ya kutaka Bara la Afrika wakazi wake wawe wanaokotwa barabarani wamekufa kama nzige ndio wanataka kutujia na plan "B" baada ya kulalamika kwamba mbona Eaafrika hawafi kwa wingi kama walivyo tegemea/tabiri - kumbuka wanao toa matamko hayo ya kishetani ni watu wenye utajiri mkubwa sana Duniani, wanatumia fedha zao ku-fund viwanda vikubwa Duniani vya kutengeneza madawa na chanjo vile vile wana influence kwenye taasisi ya UN yaani WHO, hawafichi dhamila zao za kupunguza population explosion kwenye third World specifically Africa na baadhi ya Mataifa ya Asia wanasema kuzaliana ovyo bila mpangilio kuyamaliza/deplete resource za matumizi ya binadamu Duniani - hivyo wanajiona wana wajibu mkubwa wa ku-regulate idadi ya watu Duniani - wako serious na malengo yao ya ki-masonic, wako radhi kufanya lolote hata kuonga baadhi ya watawala barani afrika ili chanjo zao zikubalike watimize malengo yao ya muda mrefu.
 
Mipaka ifungwe,km ni kweli.
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona. Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
 
Kweli.
 
Duh, ila umesema kwl hawa jamaa ujio wao hata mm wanpa wacwac kama wanatiliwa mkazo
 
Bora umeongea mkuu, nlikuwa nataka kuleta uzi kama huu.

kile kioindi corona imeanza Tanzania tulikuwa na maambukizi machache mno yanayohesabika tena wengu wakiwa ni watalii waliopata corona.

huenda ni kwajili ya baraka tuliepushwa, Sasa naona viongozi wamevimba mabichwa wameanza kuleta watalii, kwa style hii haba na haba hujaza kibaba.

Tutajuta na uamuzi huu, na kwa hali ilivyo hawa watalii wengi wanatafta visingizio wabaki hapa hapa wanaogopa kurudi kwao kuna lockdown.

Taratibu tutaelewana tu.
 
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.

Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Well said.
 
Ndege sita za mabilionea zimetua kutalii
Yaani mi nawaza tofauti sijui kwanini
 
Tuzungumze mambo kisayansi - Mataifa mengi ambayo yanamwamini Mungu na sayansi wamepiga marufuku ndege zinazo toka Uingereza, Afrika Kusini,Amerika Kasikasini na Nigeria kutotua Nchini mwao - kwa kifupi hiyo inamaanisha raia kutoka Mataifa hayo yenye strain mpya ya virusi vya Corona hawaruhusiwi kuingia katika baadhi ya Mataifa ya Ulaya na kwingineko - sisi hapa tunapata kigugumizi gani kuzipiga marufuku - je,tunajuwa virusi hivi vipya vina ukali gani wa maambukizi na tumejipanga vipi kukabiliana na type mpya, je, ni kweli vinatokana na ku-mutate au wenye malengo yao ya kutaka Bara la Afrika wakazi wake wawe wanaokotwa barabarani wamekufa kama nzige ndio wanataka kutujia na plan "B" baada ya kulalamika kwamba mbona Eaafrika hawafi kwa wingi kama walivyo tegemea/tabiri - kumbuka wanao toa matamko hayo ya kishetani ni watu wenye utajiri mkubwa sana Duniani, wanatumia fedha zao ku-fund viwanda vikubwa Duniani vya kutengeneza madawa na chanjo vile vile wana influence kwenye taasisi ya UN yaani WHO, hawafichi dhamila zao za kupunguza population explosion kwenye third World specifically Africa na baadhi ya Mataifa ya Asia wanasema kuzaliana ovyo bila mpangilio kuyamaliza/deplete resource za matumizi ya binadamu Duniani - hivyo wanajiona wana wajibu mkubwa wa ku-regulate idadi ya watu Duniani - wako serious na malengo yao ya ki-masonic, wako radhi kufanya lolote hata kuonga baadhi ya watawala barani afrika ili chanjo zao zikubalike watimize malengo yao ya muda mrefu.
Yani haya mambo ndio ilibidi yawe yana trend humu jamiiforums, Jamani hali imekuwa mbaya sana, hii corona watalii na diaspora wamechoka lockdowns nchi zao wanakuja Tanzania na wakija wanapimwa joto tu , huwa najiona hatupo sawa tz.

Na kwa hali ilivyo kiukweli kutakuwa na watalii wengi na hapo ndipo picha litaanza, hivi virusi vipya vya corona vikienea kwetu ndio tutajua kwamba pesa za utalii sio muhimu kuzidi afya, vifo visikieni tu
 
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.

Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
What if yeye ndio kaipata baada ya kuingia Tanzania mkuu?[emoji22]
 
Mnalaumu watu kwa uzembe wenu wenyewe!,mlipoambiwa vipimo vibovu mkafurahia,mlipoambiwa corona ni mbinu za mabeberu mkachekelea na mlipoambiwa Corona imeisha baada ya maombi pia mkafurahia.Hakuna mtu au taasisi ilotaka kuhakikisha kuwa bongo hamna corona,mlipeana maneno bila ya uhakiki wa kitaalamu na mkaamini,mkifikiri ni uzalendo.madereva wakipokuwa wanarudishwa mpakani na kenya mkasema ni vita ya ki biashara.Na leo hii wewe umeamua kuja na uzi kulaumu wageni kuwa wanaleta corona.Tatizo wabongo hampendi ku 'take responsibilities' mnapenda kubebwa na kutupia lawama wengine ndo maana mkiitwa 'wanyonge' mnafurahi,sababu mnyonge siku zote anaihitaji mbabe wa kumtetea,mnajisahau kuwa nyinyi si wanyonge bali ni 'wenye nchi',lakini ukijiita mwenye nchi unajukumu la kubeba na kama kawaida ya wabongo majukumu hampendi.
Hivyo'mnyonge' point yangu ni kuwa corona ilikuwapo na bado ipo,na virus ku 'mutate' ni kawaida.Wageni(nchi nyingi) kabla hawajatoka nchini kwao wanapimwa,kama corona nyie ndo waambukizaji wakubwa,sababu hamjui imewaathiri kwa kiasi gani na nani anayo na nani hana,na hata watu wakifa sijui kama sababu inatafutwa/maiti kuchunguzwa.
 
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.

Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Unajitakia shida, unao ushahidi?
 
Tuzungumze mambo kisayansi - Mataifa mengi ambayo yanamwamini Mungu na sayansi wamepiga marufuku ndege zinazo toka Uingereza, Afrika Kusini,Amerika Kasikasini na Nigeria kutotua Nchini mwao - kwa kifupi hiyo inamaanisha raia kutoka Mataifa hayo yenye strain mpya ya virusi vya Corona hawaruhusiwi kuingia katika baadhi ya Mataifa ya Ulaya na kwingineko - sisi hapa tunapata kigugumizi gani kuzipiga marufuku - je,tunajuwa virusi hivi vipya vina ukali gani wa maambukizi na tumejipanga vipi kukabiliana na type mpya, je, ni kweli vinatokana na ku-mutate au wenye malengo yao ya kutaka Bara la Afrika wakazi wake wawe wanaokotwa barabarani wamekufa kama nzige ndio wanataka kutujia na plan "B" baada ya kulalamika kwamba mbona Eaafrika hawafi kwa wingi kama walivyo tegemea/tabiri - kumbuka wanao toa matamko hayo ya kishetani ni watu wenye utajiri mkubwa sana Duniani, wanatumia fedha zao ku-fund viwanda vikubwa Duniani vya kutengeneza madawa na chanjo vile vile wana influence kwenye taasisi ya UN yaani WHO, hawafichi dhamila zao za kupunguza population explosion kwenye third World specifically Africa na baadhi ya Mataifa ya Asia wanasema kuzaliana ovyo bila mpangilio kuyamaliza/deplete resource za matumizi ya binadamu Duniani - hivyo wanajiona wana wajibu mkubwa wa ku-regulate idadi ya watu Duniani - wako serious na malengo yao ya ki-masonic, wako radhi kufanya lolote hata kuonga baadhi ya watawala barani afrika ili chanjo zao zikubalike watimize malengo yao ya muda mrefu.
huu ni uongo, kabisa wa asubuhi
 
Ndo maana ukaambiwa tumemuachia MUNGU.
Mungu yupo atatulinda.
Corona sio ya Leo Wala kesho.
Pia Haina dawa Wala kinga.
Yani haya mambo ndio ilibidi yawe yana trend humu jamiiforums, Jamani hali imekuwa mbaya sana, hii corona watalii na diaspora wamechoka lockdowns nchi zao wanakuja Tanzania na wakija wanapimwa joto tu , huwa najiona hatupo sawa tz.

Na kwa hali ilivyo kiukweli kutakuwa na watalii wengi na hapo ndipo picha litaanza, hivi virusi vipya vya corona vikienea kwetu ndio tutajua kwamba pesa za utalii sio muhimu kuzidi afya, vifo visikieni tu
 
Ndo maana ukaambiwa tumemuachia MUNGU.
Mungu yupo atatulinda.
Corona sio ya Leo Wala kesho.
Pia Haina dawa Wala kinga.
Unaishi dunia gani kaka,Kinga ishapatikana na inatolewa nchi za nje,na wameanza na manesi na ma doctor wao sababu ndio wapo mstari wa mbele kupigana na hili gonjwa.Kinga Bongo haitofika leo sababu mnaamini,mafreemasons wana mpango wa kuwamaliza.
 
Basi vizuri.
Kama Kinga imepatikana HAKUNA haja ya kuiogopa corona

Kinga na tiba ni vitu viwili tofauti, Kinga ni kwa ambao hawana ugonjwa,tiba ni kwa wagonjwa.kuna u hafadhali,lakini bado vita haijaisha.
 
IMG_0036.jpg

Mimi siamini bado hii chanjo
 
Back
Top Bottom