#COVID19 Watalii na diaspora wanaleta Covid-19 Tanzania

huu ni uongo, kabisa wa asubuhi

Oh, is it? Basi wewe leta ukweli wa jioni
Yani haya mambo ndio ilibidi yawe yana trend humu jamiiforums, Jamani hali imekuwa mbaya sana, hii corona watalii na diaspora wamechoka lockdowns nchi zao wanakuja Tanzania na wakija wanapimwa joto tu , huwa najiona hatupo sawa tz.

Na kwa hali ilivyo kiukweli kutakuwa na watalii wengi na hapo ndipo picha litaanza, hivi virusi vipya vya corona vikienea kwetu ndio tutajua kwamba pesa za utalii sio muhimu kuzidi afya, vifo visikieni tu
Tunao zungumzia suala hili wasituchukulie kama ni ma alarmist - hii si kweli hata kidogo, sisi tuko overly concern na uingiiaji holela wa watalii wanaotoka kwenye Mataifa yenye maambukizi ya aina mpya ya corona, hatujui strain hii mpya ina ukali wa kiasi gani na tujikinge vipi dhidi yake - wenye busara usema "prevention is better than cure"

Binafsi nina imani kwamba - salama yetu hipo kwenye upigaji marufuku wa ndege zinazo toka kwa Mataifa ambayo yamedhilika kwamba yana maambukizi ya aina mpya ya corona, tusiwe na kigugumizi cha kuzipiga marufuku - mambo yakitulia si watalii watakuja tu, kwani tatizo liko wapi - ya nini kujiingiza kichwa kichwa kwenye janga jipya?

Tukija kwenye watalii mabillionea na watalii wa kawaida wanao kuja nchini kukimbia aidha lockdown nchini mwao au utalii wa kawaida - kwa nini tunawachukulia poa kwa kuwapima tu joto la mwili wanapo wasili kwenye viwanja vyetu vya ndege basi, kwa nini hawa chunguzwi damu zao au sampuli za droplets/cells zao kutoka puani na kooni tukajiridhisha kwamba kama ni ma-asymptomatic carriers au bado kwenye incubation phase/period ambapo ungojwa haujajidhilisha kwa kuangalia tu au kuchukua joto la mwili, vipimo vyote critical vijulikane kwa kupatiwa majibu ndani ya muda mfupi, watakao gudurika wana maabukizi warudishwe makwao au wapigwe NYUNGU ya wiki mbili kwa malipo (utani).

Juzi hapa nilikwenda Sea Cliff nilipo fika mlangoni nikapimwa joto la mwili, nikaambiwa temp hiko normal, ndani nilikuta watu wamefurika chini na ghorofani, wengine wapo kwenye beach wanavinjari - wengi walionekana ni wageni aidha kutoka Ulaya au Merikani - for some strange reason nilijisikia sina amani kusema kweli, nikawa najiuliza maswali mengi hivi: haya masuala ya kupima joto la mwili tu ndio linatatuhakikishia usalama Kitaifa dhidi ya new pandemic?

Kati kati ya mwezi wa December kama sikosei kuna member wa JF alisema rafiki yake kutoka USA alikuja nchni kwenye likizo nafikiri, alipo wasili uwanja wa ndege kapimwa joto la mwili na kuonekana hana tatizo, kaenda zake nyumbani, baada ya siku nne kaanza kujisikia vibaya, kupimwa kagundurika ni mwathilika wa corona sijui ya strain hipi, huko Zanzibar kuna Billionea kutoka Urusi alipoteza maisha Hotelini akiwa na Girlfriend wake wa kiswahili, ingawa wanasema kilikuwa ni kifo cha kawaida lakini gazeti la Uingereza lilisema Billionea huyo aliwahi kuugua ugonjwa wa Corona nchini mwake. Swali ni: je, kitaifa suala la maambukizi ya strain mpya ya Corona kwenye baadhi ya nchi za Ulaya,Amerika na Afrika sisi tunalichukuliaje na tumejiandaa kulikabiri kivipi?
 
Mbaya zaidi kuna uchakachuaji unaweza ukawa umebuniwa mtu anapaka kitu usoni kinachopunguza joto ili wakimpima kwa ile mashine aingie na corona hapa kwetu.

Tunaonekana wabaya kuzungumza hivi vitu lakini kiukweli nchi hii tunaipenda sana inabidi tuzibe mianya ya chochote kinachoweza kudhuru nchi.
 
Korona ipo tu ya kutosha mkuu ,watu wenye umri mkubwa wanakatika sana siku hizi.
 
Tujihadhari . Corona ipo na wimbi linakuja kwa kasi mbaya sana since tumeanza kuwakaribisha wageni wengi sana.
 
Back
Top Bottom