Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona. Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Kweli.Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona. Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Well said.Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.
Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Yani haya mambo ndio ilibidi yawe yana trend humu jamiiforums, Jamani hali imekuwa mbaya sana, hii corona watalii na diaspora wamechoka lockdowns nchi zao wanakuja Tanzania na wakija wanapimwa joto tu , huwa najiona hatupo sawa tz.Tuzungumze mambo kisayansi - Mataifa mengi ambayo yanamwamini Mungu na sayansi wamepiga marufuku ndege zinazo toka Uingereza, Afrika Kusini,Amerika Kasikasini na Nigeria kutotua Nchini mwao - kwa kifupi hiyo inamaanisha raia kutoka Mataifa hayo yenye strain mpya ya virusi vya Corona hawaruhusiwi kuingia katika baadhi ya Mataifa ya Ulaya na kwingineko - sisi hapa tunapata kigugumizi gani kuzipiga marufuku - je,tunajuwa virusi hivi vipya vina ukali gani wa maambukizi na tumejipanga vipi kukabiliana na type mpya, je, ni kweli vinatokana na ku-mutate au wenye malengo yao ya kutaka Bara la Afrika wakazi wake wawe wanaokotwa barabarani wamekufa kama nzige ndio wanataka kutujia na plan "B" baada ya kulalamika kwamba mbona Eaafrika hawafi kwa wingi kama walivyo tegemea/tabiri - kumbuka wanao toa matamko hayo ya kishetani ni watu wenye utajiri mkubwa sana Duniani, wanatumia fedha zao ku-fund viwanda vikubwa Duniani vya kutengeneza madawa na chanjo vile vile wana influence kwenye taasisi ya UN yaani WHO, hawafichi dhamila zao za kupunguza population explosion kwenye third World specifically Africa na baadhi ya Mataifa ya Asia wanasema kuzaliana ovyo bila mpangilio kuyamaliza/deplete resource za matumizi ya binadamu Duniani - hivyo wanajiona wana wajibu mkubwa wa ku-regulate idadi ya watu Duniani - wako serious na malengo yao ya ki-masonic, wako radhi kufanya lolote hata kuonga baadhi ya watawala barani afrika ili chanjo zao zikubalike watimize malengo yao ya muda mrefu.
What if yeye ndio kaipata baada ya kuingia Tanzania mkuu?[emoji22]Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.
Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
Unajitakia shida, unao ushahidi?Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.
Airport wanapima joto lakini haitoshi nashauri kwa kipindi hiki tusipokuwa makini tutaletewa hii corona mpya inayoenea haraka. Najua msimamo ni kutokuongelea corona lakini tuna wazazi watu wazima lazima tuongee.
huu ni uongo, kabisa wa asubuhiTuzungumze mambo kisayansi - Mataifa mengi ambayo yanamwamini Mungu na sayansi wamepiga marufuku ndege zinazo toka Uingereza, Afrika Kusini,Amerika Kasikasini na Nigeria kutotua Nchini mwao - kwa kifupi hiyo inamaanisha raia kutoka Mataifa hayo yenye strain mpya ya virusi vya Corona hawaruhusiwi kuingia katika baadhi ya Mataifa ya Ulaya na kwingineko - sisi hapa tunapata kigugumizi gani kuzipiga marufuku - je,tunajuwa virusi hivi vipya vina ukali gani wa maambukizi na tumejipanga vipi kukabiliana na type mpya, je, ni kweli vinatokana na ku-mutate au wenye malengo yao ya kutaka Bara la Afrika wakazi wake wawe wanaokotwa barabarani wamekufa kama nzige ndio wanataka kutujia na plan "B" baada ya kulalamika kwamba mbona Eaafrika hawafi kwa wingi kama walivyo tegemea/tabiri - kumbuka wanao toa matamko hayo ya kishetani ni watu wenye utajiri mkubwa sana Duniani, wanatumia fedha zao ku-fund viwanda vikubwa Duniani vya kutengeneza madawa na chanjo vile vile wana influence kwenye taasisi ya UN yaani WHO, hawafichi dhamila zao za kupunguza population explosion kwenye third World specifically Africa na baadhi ya Mataifa ya Asia wanasema kuzaliana ovyo bila mpangilio kuyamaliza/deplete resource za matumizi ya binadamu Duniani - hivyo wanajiona wana wajibu mkubwa wa ku-regulate idadi ya watu Duniani - wako serious na malengo yao ya ki-masonic, wako radhi kufanya lolote hata kuonga baadhi ya watawala barani afrika ili chanjo zao zikubalike watimize malengo yao ya muda mrefu.
Mipaka ifungwe,km ni kweli.
Yani haya mambo ndio ilibidi yawe yana trend humu jamiiforums, Jamani hali imekuwa mbaya sana, hii corona watalii na diaspora wamechoka lockdowns nchi zao wanakuja Tanzania na wakija wanapimwa joto tu , huwa najiona hatupo sawa tz.
Na kwa hali ilivyo kiukweli kutakuwa na watalii wengi na hapo ndipo picha litaanza, hivi virusi vipya vya corona vikienea kwetu ndio tutajua kwamba pesa za utalii sio muhimu kuzidi afya, vifo visikieni tu
Unaishi dunia gani kaka,Kinga ishapatikana na inatolewa nchi za nje,na wameanza na manesi na ma doctor wao sababu ndio wapo mstari wa mbele kupigana na hili gonjwa.Kinga Bongo haitofika leo sababu mnaamini,mafreemasons wana mpango wa kuwamaliza.Ndo maana ukaambiwa tumemuachia MUNGU.
Mungu yupo atatulinda.
Corona sio ya Leo Wala kesho.
Pia Haina dawa Wala kinga.
Unaishi dunia gani kaka,Kinga ishapatikana na inatolewa nchi za nje,na wameanza na manesi na ma doctor wao sababu ndio wapo mstari wa mbele kupigana na hili gonjwa.Kinga Bongo haitofika leo sababu mnaamini,mafreemasons wana mpango wa kuwamaliza.
Kinga na tiba ni vitu viwili tofauti, Kinga ni kwa ambao hawana ugonjwa,tiba ni kwa wagonjwa.kuna u hafadhali,lakini bado vita haijaisha.Basi vizuri.
Kama Kinga imepatikana HAKUNA haja ya kuiogopa corona