Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia.

Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
 
Larry amesema mwanzo walipopata video na wakiendelea kuanda ripoti waliwapigia akina Msigwa hawakutoa ushirikiano.

Ripoti ilipotoka wamesema wamepotosha.

Larry anashangaa hata press ya leo kwanini CNN hawajaalikwa ili wapate "right of reply" maana mawasiliano yao wanayo hivyo alitamani wawepo pia waulize maswali ana kwa ana .

Msigwa kaishia waganga njaa waliotolewa udenda na unene wa bahasha za khaki hata maswali unayoona wanauliza yalikua scripted na mtu hukutakiwa kutoka nje ya script

Anawashangaa leo ni siku ya 25 ila wameshindwa kutoa idadi ya vifo kutokana na mauaji.


View: https://x.com/LarryMadowo/status/1992516777633554601?t=TXn4K1aA9elIdcDpQ8eQCA&s=19
 
Back
Top Bottom