Watalii Watue CHATO na sio Kilimanjaro

Watalii Watue CHATO na sio Kilimanjaro

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Baada ya Serikali kufungua anga kwa ndege za Kimataifa, na kwakuwa huko kwa mabeberu summer time ndiyo hii basi wataslii wameanza kumiminika, na Kufikia mkoani KILIMANJARO.
Hili ni pigo kubwa sana kwa serikali na imemchefua mkuu huku Kigwangala akipongeza bila kujua bosi wake amechukia ila hajasema.

Watalii hawa wangeshukia CHATO-BURIGI mkuu angefurahi sana na angeenda kuwapokea mwenyewe, angeweka ndio talk of the day!
Sasa Burigi imepewa kila kitu mpaka simba wale wenye afya nzuri, tembo na wanyama wa kila aina wamepelekwa huko, mbona watalii hawaendi?

Kwanini kila mtalii akija Tanzania anashukia Kilimanajro, Arusha ,Zanzibar then anarudi kwao?
 
Hii ndio Tanzania kila kona kuna kuvutio cha utalii
 
Screenshot_2020-05-25-11-24-30.png


Endeleeni na usanii
 
Hakuna kazi ngumu kama kumtetea shetani/ nauliza serikali ya viwanda ndani ya Sera za ccm kupitia Mataga mlihadi serikali itajenga viwanda vyakutosha hili kupunguza uhaba wa ajira....pia mtatoa mil 50 kila kijiji sasa hapo habari mnayo mmeishia kurudia uchaguzi wa madiwani na wabunge /
Huo uwanja wa Chato na Burigi ni "Gbadolite" tu! Subirini 2025 mtaona.
 
Back
Top Bottom