Wataliwatalii Wazidi Kuingia: Wakenya Jameni Tupige Kura Turudi Kazini

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Ingekua ni mimi napanga kutalii nchi flani hapa barani Africa, nchi Ambayo ina uchaguzi kama wa Kenya, kusema ukweli ningefikiria sana kabla kuchagua kwenda,
Hii inamaanisha hawa watalii wako na imani na nchi kwamba mambo yatakua shwari, kwahivyo tupige kura, tungoje majibu na atakayeshinda ashinde na haki ma kwa utulivu kisha turudi kuchapa kazi kama kawa hakuna kupmzika

wp_ss_20170802_0001.png
wp_ss_20170802_0002.png
 
Majanga huwa yanaanzishwa na wanasiasa,sio wananchi
 
hao sio watalii tu, wana mambo yao, maana nchi attention yote ipo kwa uhuru na raila
 
Haha. Usijifariji kijana
Kumuua bosi wa IT kumewapa picha mbaya mno.
Watu wenye akili zao lazima wawe na tahadhari kubwa sana.
Yale ya 2007 yatajirudia tena.
 
pumbavu mkubwa...we dont have time for such idiotic statements...Kafrican this is good news...leave these tz fools...they can say anything...welcome to the italians and may we have peaceful elections.
 
Lisemwalo lipo
 
Hao ni ma-dracula wanasubiri kwa hamu na gamu damu imwagike.
 
pumbavu mkubwa...we dont have time for such idiotic statements...Kafrican this is good news...leave these tz fools...they can say anything...welcome to the italians and may we have peaceful elections.
Baada ya tarehe 8 ntakuja kukuonesha mlivyo majambazi.
 
Back
Top Bottom