Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.