kwanini?Kumiliki S1 si bora ubaki na hiyo hiyo tu
kwanini?
Camon 11 [emoji39]Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
basi uwe rafiki yangu bure bure tu handset yangu hii hiiNahisi itakuwa mbaya
basi uwe rafiki yangu bure bure tu handset yangu hii hii
Sisi wengine tuna comment wapi....!!??[emoji41][emoji41]
Wewe mtu nakufahamu vizuriTecno camon 11 pro View attachment 1087905
mimi nataka kula hapa...njoo tuanze sasa hivi, karibu sanaTuanze lini sasa kuwa marafiki?sa hivi ama badae kidogo?
Asante kisusio wangu....[emoji39][emoji39]Nyie mkacomment kule when the shit hit the fan
Asanteemimi nataka kula hapa...njoo tuanze sasa hivi, karibu sana
Mkuu ndo ninayo tumia kwa sasausiweke hiyo simu hiyo si bado ujanunua uoni hata nailoni ujatoa