Inajipiga yenyewe ?Tunaotumia Tecno hoyeeeee, ila hii yangu mmmh hatariii
Unaogopa kulipa ?Fanya ununue, kuitumia nitajifunza mwenyewe.....
usije niomba malipo bure
Ebu tuioneacha nibakie na alcatel pixi yangu
Hahaaa, hii haijipigi ila sometimes ukiwa unaperuzi labda jf hivi, inacancel inarudi mwanzo(menu), ukitaka kumpigia mtu inakata mpk ujaribu hata Mara 3 ndyo inakubali[emoji3] [emoji3] [emoji3]Inajipiga yenyewe ?
Teh teh mpaka nipate nyingine. ...kwa sasa fanya uitafute kule google. ....Ebu tuione
Unaogopa kulipa ?
Ilete basi nikurekebishie ( in a serious note)Hahaaa, hii haijipigi ila sometimes ukiwa unaperuzi labda jf hivi, inacancel inarudi mwanzo(menu), ukitaka kumpigia mtu inakata mpk ujaribu hata Mara 3 ndyo inakubali[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Napenda kuiona hiyo yako bbadeTeh teh mpaka nipate nyingine. ...kwa sasa fanya uitafute kule google. ....
Uko wapi mimi nipo Njombe hukuuIlete basi nikurekebishie ( in a serious note)
Na inawezekana ukalipa kwa saa moja na ukajikuta unataman uendelee kuilipia hata kama mlipwaji hataki. Chochote kinawezekana.Naweza kuilipia maisha yangu yote. ...naogopa
Mimi ni Mlinzi hapa Mloganzira. Ukija kwa Bashite pitia hapo Kibamba.Uko wapi mimi nipo Njombe hukuu
Picha yake. TuioneTaigaphone from Russia
Nitaitazamaje pua yangu au kisogo changu?Picha yake. Tuione