Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

Wewe wasema


Simu ni kitu gani buana si ni uchafu tu

Inaonesha Jiwe and his minions got no sense of style and affluence seriousness!

Utasema simu kitu gani,then gari kitu gani,then nyumba kitu gani,then shule nzuri kitu gani,then chuo kikuu bora kitu gani,then mwisho watoto wako wanaishia kua matarishi wa walio gharamikia Harvard!

Jiwe anawaambukizia umasikini kwa kiwango cha SGR!

Halafu unajua hamuwezi jitambua,ni kama wale wapumbavu wa dini,wanaaminishwa hadi kula majani...

This is gross!
 
Huawei P20 pro japokua na simu 2 hyo ndio main phone.
 
Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?

1. Hauwei

2. Iphone

3. Samsung

4. Tecno


Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.

NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.

Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Nokia
 
Back
Top Bottom