Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
bado....ikitoka nitakushtua2+ ishatoka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado....ikitoka nitakushtua2+ ishatoka ?
Wewe wasema
Simu ni kitu gani buana si ni uchafu tu
bado....ikitoka nitakushtua
nitakununulia nikipata na muda mzuri wa kukufundisha kuitumia.....au tuanze kujifunza kuitumia kwanza?naomba uninunulie, ukinishtua naweza kuzimia
nitakununulia nikipata na muda mzuri wa kukufundisha kuitumia.....au tuanze kujifunza kuitumia kwanza?
malipo muhimu na uandae tu kunilipa maana najua utaniuliza vingi...umesahau na ile Nokia!!Fanya ununue, kuitumia nitajifunza mwenyewe.....
usije niomba malipo bure
NokiaJe unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
malipo muhimu na uandae tu kunilipa maana najua utaniuliza vingi...umesahau na ile Nokia!!
afadhali, hiyo unaiweza vizuriacha nibakie na alcatel pixi yangu