Hii simu naitakani ila sijui bei yake. Nipo vijijin huku.#infinix
Ile simu bado unayo ?Aiseee
Infinix ni pacha wa Tecno. Hana jipya. usidanganywe na jinaHii simu naitakani ila sijui bei yake. Nipo vijijin huku.
MimiNatumia Tecno nahitaji marafiki wenye iPhone pekee
😀 Muongo weweMimi
nimeinunua leo hapa soko la Mahakama ya ndizi
Haijaanza kujipga yenyewe?Mbona sio mwenye simu yangu
TECNO CAMON 11 PRO
Weka pichaKweli tena.
Njoo uione kama nadanganya
Usalama wa hapa hauruhusu kuipost. Labda pm[emoji1][emoji1]Weka picha
Muone kwanza 😃Usalama wa hapa hauruhusu kuipost. Labda pm[emoji1][emoji1]
Halafu pm ntakutumia hadi box lake [emoji23][emoji23][emoji23]Muone kwanza [emoji2]
Acha maneno mengi, weka picha hapaHalafu pm ntakutumia hadi box lake [emoji23][emoji23][emoji23]