Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

Hatujawahi kushauri Wasanii wasimame na vyama vya siasa , sijui kama unaelewa , hoja ni kwamba tunataka Wasanii watetee haki , panapotokea uonevu wakemee , hiyo haijawahi kuwa siasa , angalia hata Davido na wengine duniani , hawanyamazii uonevu .

Na ndio maana tunasema mtu akale alikopeleka mboga .
 
Heshimu muda wako mkongwe, CHADEMA mna mengi sana ya kupigania.
 
Enzi za Magu wengi wao walikuwa waoga yakitokea maandamano hawaendi wanafyata mkia! Hata hizo hashtag enzi zile ukiweka jina lako halisi kazi huna!
 
CHADEMA BADO HAWAWAJUI WATANZANIA ILA IPO SIKU WATAWAJUWA TU WANAKUSHAWISHI UTENDE MAKOSA TENA WANAKUSHANGILIA KABISA ILA UKIINGIA MATATIZO TU HILO UTAKULA MWENYEWE WAO WANARUDI MITANDAONI KWELI HIVI NIACHE FAMILIA YANGU KWAAJILI YA KUMSAPOTI MBOWE AU LISSU USHENZI TU
 
Tukiachana na ngonjera nyingi zisizo na maana.

KIUFUPI TU: Kama mnafikiri nyinyi ndo mnaoweza kuamua kama diamond ashinde au asishinde hiyo tuzo, tuonyesheni kwa kwakumfanya ROMA ashinde na ikiwa hamtaweza kumfanya Roma ashinde, Basi mjue kabisa kushinda au kushindwa kwa Diamond hakuchochewi na nyinyi.
 
Enzi za magu wengi wao walikuwa waoga yakitokea maandamano hawaendi wanafyata mkia! Hata hizo hashtag enzi zile ukiweka jina lako halisi kazi huna!
Sasa kama hali ilikuwa hivyo, Diamond ni nani hata asingekuwa muoga kama wengine wakati huo?
 
Diamond aendelee kushikamana na serikali Ili mkono wake uendelee kwenda kinywani, asithubutu kabia kuungana na hawa wanaharakati uchwara ambao hawawezi kumsaidia chochote.
 
Unatoka kwenye hoja , basi tufanye hivi , Kila mtu ashinde mechi zake tuone mwisho utakuwaje .
 
Unatoka kwenye hoja , basi tufanye hivi , Kila mtu ashinde mechi zake tuone mwisho utakuwaje .
Nakazia, kushinda au kushindwa kwa diamond kwenye hizi tuzo hakuchochewi kwa namna yoyote Ile na hawa wanaharakati uchwara wa Tz,wanaharakati ambao hawawezi kujisimamia wao wenyewe ila wanakaa kusubiri mtu aumie kwaajili yao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB:Kama kweli mna hiyo influence mnayodhani, nawashauri mmsaidie Msanii wenu ROMA ashinde.
 
Sasa kama hali ilikuwa hivyo, Diamond ni nani hata asingekuwa muoga kama wengine wakati huo?
Hapo sasa. Ndo maana nawaheshim watu kama roma au nay au yeyote aliejitokeza hadharani kumpinga magu mida ile. Au aliempinga kwa kutumia ID halisi kwenye mitandao.

Wengine tunaojitokeza sasa kumpinga mondi eti alikaa kimya sijui nn ni wanafiki. Sisi wenyewe mida hiyo tulijificha kwenye vichaka vya VPN na ID zetu feki.
 
Umezunguka weee ila lengo lako hapa ni Diamond tu na issue ya BET. Unateseka sana wewe kiumbe,na ukija kushtuka itakua ni too late.
 
Mpigie Roma ambae hajashindwa mziki Ili ashinde BET.

Kama hamna huo uwezo wa kumfanya Roma achukue hiyo Tuzo, mjue kabisa hamna uwezo pia wa kumfanya diamond ashinde au asishinde.

Aache kulialia sadala,mambo yake asishirikishe taifa.
 
Tuleteeni msanii wa chadema apigiwe kura bet
 
Iangalie TBC kama somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…