watampanga PCM au PCB

watampanga PCM au PCB

shareef95nes

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
108
Reaction score
16
kuna dogo langu limepata
phy-c
chem-c
math-c
bio-b
eng-c
kisw-D
civics-c
computer-c
geo-c

yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB
 
Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia
 
Kwa kuwa alichagua PCM ya kwanza na ana credit katika masomo yote yanayounganisha combination hiyo lazima achuguliwe PCM. Chaguo la kwanza linaheshimiwa sana
 
atapelekwa PCM ila shule za kawaida sana ambazp hazina walimu wanaostahili na wasiomaliza syllabus
 
kuna dogo langu limepata
phy-c
chem-c
math-c
bio-b
eng-c
kisw-D
civics-c
computer-c
geo-c

yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB

kwani pcb aliweka ya ngapi??? kama aliweka ya pili...ana uwezekano wa kwenda pcb!!
 
Back
Top Bottom