Watanganyika Asilia Kamwe Tusishiriki Uchaguzi Bila Marekebisho

Nakuunga mkono
 
Ni wazo lako sikupingi, ila sidhani kama unamjua mtanganyika mhalisia. Tukitaka kuwatafuta watanganyika asilia ni sawa na kumtafuta mmarekani halisi. Ni vyema kwenye mada kabla hujatoa mada ukae usome mtanganyika asili ni nani na ni yupi.
 
One sasa.....imagine mpumbavu kama huyu ambaye utakuta hata kwenye account hana hata mia ila matusi tu
Nakuona nyumbu kwenye ubora wako..
Okay ngoja nijifunze kuwa mjinga kama wewe "haya nisiposhiriki huo uchaguzi ndo hyo shilingi mia itakuwa kwenye akaunti yangu?" chadomo wakiingia madarakani ndo nitapata hyo mia ambayo nilikuwa sina?"

PELEKA HUKO HZO SIASA ZA KITAPELI HUKO.
 
Naunga mkono hoja
 
Hahahaha kila mtu ashinde mechi zake
October tunatick ✅✅✅✅✅✅✅✅
 
#OKTOBATUNATIKI


Tumewakata CHADEMA pabaya
 
JK msaliti wa Tanganyika, kwa manufaa yake na familia yake.
Wilaya ya Tanganyika iko mkoa wa Katavi na Kijiji cha Tanganyika kipo Muheza unapokwenda Tanga. Je usaliti wa JK ukoje hapa?
 
Hakuna Uchaguzi Mkuu wowote ambao Watanzania sifa wote walishiriki kupiga kura. HAKUNA. Hawapigi kura kwa sababu mbalimbali labda kusafiri nje ya nchi, ugonjwa na utashi wa kutotaka. Lakini, LAZIMA Chaguzi Kuu zilifanyika na wa mwaka LAZIMA UTAFANYIKA bila kujali wangapi wameenda kupiga kura na wangapi hawajaenda. Ila kwa sisi CHAWA WA UCHAGUZI MKUU tuliopo saiti huku, mwitikio wa kupiga kura utakuwa mkubwa sana!!!
 
Una hoja usikilizweView attachment 3394455
 

Attachments

  • TANGANYIKA.jpg
    1.6 KB · Views: 11

Ungekuwa na akili ungejua kuwa unaunga mkono hoja. Wananchi wana haki ya kushiriki uchaguzi wa haki, siyo huu ushenzi wa kudhulumu haki, halafu unaupa jina la uchaguzi. Huu ushenzi, ututakaosimamiwa na tume ya kishenzi, sheria na kanuni za kishenzi, utawahusisha washenzi pekee.
 
Mpumbavu kweli we ngiri, Magufuli hakuwa mtanganyika wa asili? Kuna Rais alipoteza na kuua watu km Magu? Mkishindwa hoja msilete vioja.
Waliotekwa na kuuawa wakati wa utawala wa Magufuli hawafiki hata 50% ya waliotekwa awamu hii ya shetani mkuu. Kuteka na kuua, hata kama ni mtu mmoja, siyo sawa. Lakini ushetani wa awamu hii haujawahi kushuhudiwa. Pia wakati wa Magufuli, hakuna mali ya Tanganyika iliyoporwa na kugawiwa waarabu kama inavyofanyika awamu hii.

Ulaaniwe utawala huu wa kishetani.
 
Mimi ni Mtanganyika wa asili kabisa kutoka Tanga milimani. Nakuunga mkono kwa 💯=
Sipo tayari kuchagua wageni kutoka nchi nyingine kunitawala. Bora waendelee tu kunitawala kimabavu kwa kushirikiana na hao vibaraka wao.
 
Na hao unaowaita washenzi na sheria kishenzi waliwahi kuwatangaza viongozi wako wa chadomo kama wabunge na hao wabunge wa kutoka chadomo hawakugomea uchaguzi!

UNGEKUWA NA AKILI UNGETAMBUA KUWA KIPINDI KILE WATANZANIA WALIKUWA WAJINGA NDO MAANA WALIWACHAGUA VIBAKA NA MATAPELI YA KISIASA AKINA LISU, BAADA YA WATANZANIA KUZINDUKA WAMEWAKATAA NDO MNATULETEA SIASA ZA KITAPELI!

Nyie, vibaka ni lini mligundua kuwa tume na sheria ya uchaguzi ni mbaya?

#KATAA VIBAKA WA KISIASA
#KATAA MATAPELI WA KISIASA
 
Mimi ni Mtanganyika wa asili kabisa kutoka Tanga milimani. Nakuunga mkono kwa 💯=
Sipo tayari kuchagua wageni kutoka nchi nyingine kunitawala. Bora waendelee tu kunitawala kimabavu kwa kushirikiana na hao vibaraka wao.


Sahihi kabisa.

Ni aheri ufanyiwe uharamia kwa sababu huna cha kufanya, kuliko kushiriki kwenye uharamia ukijua kabisa ni uharamia, tena unashirikiana na wageni dhidi ya nchi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…