Mpaka sasa wale wenye uraia wa kubumba, kuokoteza, na kupewa ndio wapo mstari wa mbele kabisa kutaka nchi iendelee na chaguzi za dhuluma zisizozingatia haki wakihofia uwepo wa uchaguzi wa haki unaweza kuwatoa nje, na hivyo wao kushindwa kuwasaidia watu wa mataifs yao asilia.
Hawa wasio watanganyika asilia ni wazi hawaumizwi na lolote juu ya Tanganyika, wapo kwaajili ya kuwafaidisha watu wa kwao kwa gharama ya dhuluma kwa Watanganyika.
Hata kama hatuwezi kuwadhibiti kwa nguvu, basi kutokukubaliana na uovu wao tujitenge nao kwa kila kitu, kuanzia kwenye uchaguzi wao bandia mpaka maisha ya kijamii. Hii ieaguse pia watanganyika walioisaliti Tanganyika, wakashirikiana na waovu katika kuiangamiza Tanganyika kupitia:
1. Vitendo vya kuteka na kuwaua watanganyika
2. Kupora rasilimali za Tanganyika kama vile bandari, mbuga za wanyama, misitu, viwanja vyetu vya ndege, na kisha kuwagawia waaabu.
3. Udhulumaji wa haki za wananchi za kuwachagua viongozi wao
4. Uharibifu wa akili za vijana wetu, na kuwafanya waishie kuwa machawa badala ya kuwa wazalendo kwa Tanganyika yao.
Hima Watanganyika, tufanye kila linalowezekana kukitenga na uovu wa wageni na watanganyika wasaliti dhidi ya Tanganyika yetu. Usikubali wewe mwenyewe, mwanafamilia, ndugu au jirani yako kushiriki tendo lolote linalohusiana na huu uchaguzi unaolenga kuangamiza haki za watanganyika. Kamwe uUlsishikamane na maadui wa haki za Watanganyika. Mashetani dhulumati ya haki za Watanganyika, tuyaache yaonekane wazi. Ya mwanzo ni hayo ambayo tayari tumeyaona yakikimbilia kuchukua fomu, ya pili ni yale yatakayokubali kushiriki kuoig kura, hayo yote lazima tujitenge nayo. Hayo yote directly na indirectly yanaunga mkono utekaji na mauaji ya watanganyika.