Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Uzi uwekewe lamination !!!!Mpaka sasa wale wenye uraia wa kubumba, kuokoteza, na kupewa ndio wapo mstari wa mbele kabisa kutaka nchi iendelee na chaguzi za dhuluma zisizozingatia haki wakihofia uwepo wa uchaguzi wa haki unaweza kuwatoa nje, na hivyo wao kushindwa kuwasaidia watu wa mataifs yao asilia.
Hawa wasio watanganyika asilia ni wazi hawaumizwi na lolote juu ya Tanganyika, wapo kwaajili ya kuwafaidisha watu wa kwao kwa gharama ya dhuluma kwa Watanganyika.
Hata kama hatuwezi kuwadhibiti kwa nguvu, basi kutokukubaliana na uovu wao tujitenge nao kwa kila kitu, kuanzia kwenye uchaguzi wao bandia mpaka maisha ya kijamii. Hii ieaguse pia watanganyika walioisaliti Tanganyika, wakashirikiana na waovu katika kuiangamiza Tanganyika kupitia:
1. Vitendo vya kuteka na kuwaua watanganyika
2. Kupora rasilimali za Tanganyika kama vile bandari, mbuga za wanyama, misitu, viwanja vyetu vya ndege, na kisha kuwagawia waaabu.
3. Udhulumaji wa haki za wananchi za kuwachagua viongozi wao
4. Uharibifu wa akili za vijana wetu, na kuwafanya waishie kuwa machawa badala ya kuwa wazalendo kwa Tanganyika yao.
Hima Watanganyika, tufanye kila linalowezekana kukitenga na uovu wa wageni na watanganyika wasaliti dhidi ya Tanganyika yetu. Usikubali wewe mwenyewe, mwanafamilia, ndugu au jirani yako kushiriki tendo lolote linalohusiana na huu uchaguzi unaolenga kuangamiza haki za watanganyika. Kamwe uUlsishikamane na maadui wa haki za Watanganyika. Mashetani dhulumati ya haki za Watanganyika, tuyaache yaonekane wazi. Ya mwanzo ni hayo ambayo tayari tumeyaona yakikimbilia kuchukua fomu, ya pili ni yale yatakayokubali kushiriki kuoig kura, hayo yote lazima tujitenge nayo. Hayo yote directly na indirectly yanaunga mkono utekaji na mauaji ya watanganyika.
NO REFORMS, NO ELECTION.Mpaka sasa wale wenye uraia wa kubumba, kuokoteza, na kupewa ndio wapo mstari wa mbele kabisa kutaka nchi iendelee na chaguzi za dhuluma zisizozingatia haki wakihofia uwepo wa uchaguzi wa haki unaweza kuwatoa nje, na hivyo wao kushindwa kuwasaidia watu wa mataifs yao asilia.
Hawa wasio watanganyika asilia ni wazi hawaumizwi na lolote juu ya Tanganyika, wapo kwaajili ya kuwafaidisha watu wa kwao kwa gharama ya dhuluma kwa Watanganyika.
Hata kama hatuwezi kuwadhibiti kwa nguvu, basi kutokukubaliana na uovu wao tujitenge nao kwa kila kitu, kuanzia kwenye uchaguzi wao bandia mpaka maisha ya kijamii. Hii ieaguse pia watanganyika walioisaliti Tanganyika, wakashirikiana na waovu katika kuiangamiza Tanganyika kupitia:
1. Vitendo vya kuteka na kuwaua watanganyika
2. Kupora rasilimali za Tanganyika kama vile bandari, mbuga za wanyama, misitu, viwanja vyetu vya ndege, na kisha kuwagawia waaabu.
3. Udhulumaji wa haki za wananchi za kuwachagua viongozi wao
4. Uharibifu wa akili za vijana wetu, na kuwafanya waishie kuwa machawa badala ya kuwa wazalendo kwa Tanganyika yao.
Hima Watanganyika, tufanye kila linalowezekana kukitenga na uovu wa wageni na watanganyika wasaliti dhidi ya Tanganyika yetu. Usikubali wewe mwenyewe, mwanafamilia, ndugu au jirani yako kushiriki tendo lolote linalohusiana na huu uchaguzi unaolenga kuangamiza haki za watanganyika. Kamwe uUlsishikamane na maadui wa haki za Watanganyika. Mashetani dhulumati ya haki za Watanganyika, tuyaache yaonekane wazi. Ya mwanzo ni hayo ambayo tayari tumeyaona yakikimbilia kuchukua fomu, ya pili ni yale yatakayokubali kushiriki kuoig kura, hayo yote lazima tujitenge nayo. Hayo yote directly na indirectly yanaunga mkono utekaji na mauaji ya watanganyika.
Na hao unaowaita washenzi na sheria kishenzi waliwahi kuwatangaza viongozi wako wa chadomo kama wabunge na hao wabunge wa kutoka chadomo hawakugomea uchaguzi!
UNGEKUWA NA AKILI UNGETAMBUA KUWA KIPINDI KILE WATANZANIA WALIKUWA WAJINGA NDO MAANA WALIWACHAGUA VIBAKA NA MATAPELI YA KISIASA AKINA LISU, BAADA YA WATANZANIA KUZINDUKA WAMEWAKATAA NDO MNATULETEA SIASA ZA KITAPELI!
Nyie, vibaka ni lini mligundua kuwa tume na she ya uchaguzi ni mbaya?
#KATAA VIBAKA WA KISIASA
#KATAA MATAPELI WA KISIASA
Nimekuuliza kipindi mnapigiwa kura mnaenda bungeni kukenua meno na mnaongoza majiji makubwa na miji mikubwa, tume ya uchaguzi ilikuwa chini ya heche au sheria zlitungwa na kamati kuu ya chadema?Kwa kuwa umlemavu kichwani, usamehewe. Ila wenye akili timamu wanajua ushenzi uliopo, na kamwe hawatashiriki kwenye huo ushenzi.
Hapa hatuzungumzii CCM kushinda au CHADEMA au CHAUMMA, tunazungumzia uchaguzi wa haki ambao wananchi ndio wanaoamua. Huu ushenzi ulioandaliwa na washenzi, wakauita uchaguzi, watashiriki washenzi wenzao tu. Hakuna mwenye akili timamu, mzalendo kwa nchi yake, atashiriki kwente hiyo najisi.
Very true
We zimwi umetokea wapi? Watanganyika asili ndio wadudu gani. We bwege uongozi haupatikana kwa kuwagawa watanzania.
Wenye akiki OKTOBA TUNATIKI, Nyumbu km ww endeeleni kuliwa na Simba huko porini
Huo muda mi sina kabisa.
Safari hii acha wauwane wenyewe.
Tumechoka kusikia vifo vya vyama pinzani kisa kutofautiana ideology.
We mbwa koko tuoneshee akaunti yako, ht hivyo hajakuomba senti na humu hatubaguani kwa hali zetu kiuchumi kwanza hakuna anayemjua mwenzake humu. Ni kwamba tu we umethibitisha upumbavu wako. Ukimchagua huyo maskini wa kinyaturu na kibaraka la wazungu ndio ataingiziwa pesa kwenye akaunti yake? We ni maskini mpaka wa akili. Useless spermOne sasa.....imagine mpumbavu kama huyu ambaye utakuta hata kwenye account hana hata mia ila matusi tu
Uchaguzi wa kuigiza una maana gani tunaenda kupoteza Trillion Kazaa ya pesa kwa uchaguzi wa maigizo kwa manufaa ya nani si bora Uchaguzi usitishwe Rais aendelee amalizie mitano yake hiyo pesa ya kufanyia uchaguzi ipelekwe hata TanroadNenda kinondoni kwenye kamati kuu na utapeli wa tone tone ututolee upumbavu hapa
"UCHAGUZI NI HAKI YETU YA MSINGI, TUTACHAGUA NA KUCHAGULIWA"
hamna kitu mtafanya, yaani tusipge kura kisa wahuni fulani fulani hv..HLO HAPANA..
UNAYO HAKI YA KUTOSHRIKI UCHAGUZI, VILE VILE WENGNE WANA HAKI YA KUPGA KURA.