Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Ngoja chawa wajeKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Hawawezi kubali uvunjwe kwa sababu wanafaidika mnoo!! Kama umeenda Zenji recently aysee ni kunajengwa balaa! Mijengo mikali kama ulayaIla Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
Tupe na HASARA za kuvunja muungano ili tulinganishe!Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Tanganyika Iko wapi?Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Kama kuna kitu namlaumu Mwl Nyerere ni kuung'ang'ania na kutuachia muungano mbovu kupita kiasi, unaotuumiza, unaotutesa, unaotufanya watumwa na wafungwa wakubwa duniani.Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Yaani Wazanzibari wamewatumbukiza machogo wa Kitanganyika gunzi la tundu la nyuma huku wengi wao wakichekelea na kukata viuno linavyozidi kuzama.Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Ukirushiwa pande la nyama huwa ni ngumu kuongea...😅Ila Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
Ilikuwa wapi kabla ya 26/4/1964.Tanganyika Iko wapi?