Unaelekea huujui hata huu muungano kiasi kwamba unazungumza lugha za ajabu, na iwapo unaujua huu muungano basi unazungumza lugha za chuki.Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Mdomo ni nyumba ya maneno. Kaulize kule kwenu jee Zanzibar haikuwepo? Jee Zanzibar haikuwa inatawala hadi ukanda wa pwani wa Afrika Mashariki? Jawabu utalolipata lifanyie kazi kwa faida yako na vizazi bijavyo.Hata mimi naweza kudai kuwa Zanzibar haikuwahi kuwepo ilikuwa ni wilaya ya Tanganyika naidai irudi kuwa wilaya yetu.
Maendeleo wanayopendelewa huko watulie kwanzaWanawadai trillion 4 mgao wao hamuwapi miaka dahari,wapeni
Kumbe kuna wakati watu wanaweza kuzungumza kistaarabu kujenga hoja.HOJA ZINAZOONYESHA MFUMO UNA HAKI
1. Makubaliano ya muungano
-Muungano uliundwa kwa makubaliano ya pande mbili
- Zanzibar ilikubali kujiunga kwa masharti ya kubaki na mamlaka ya ndani.
2. Kulinda utambulishi wa Zanzibar
- Zanzibar ina historia, utamaduni na mazingira tofauti
- Sharti la Rais kuwa mzanzibari inaonekana kama njia ya kulinda hilo.
3. Mfumo wa serikali mbili
- Tanzania haina serikali ya Tanganyika
- Zanzibar ina serikali yake hivyo inajilinda kisiasa
MFUMO UNAONEKANA KUWA HAKI KWA ZANZIBAR.
Hoja zinazoonyesha mfumo hauna haki
1. Haki zisizo sawa
-Mzanzibari anaweza kuwa Rais wa 🇹🇿
-Raia wa bara hawezi kuwa Rais wa Zanzibar
2. Raia hawako sawa kikatiba
- Kama wote ni wa 🇹🇿 kwanini haki za uongozi ziwe tofauti?
3. Muungano usio sawa
- Zanzibar ina serikali yake + uwakilishi wa Muungano
- Bara haina serikali yake wala rais wake wa ndani
Hitimisho la kati (lenye mizani)
⚖️ Kisheria: ni halali (iko kwenye katiba).
🧭 Kihaki: una mapungufu makubwa ya usawa.
🗣️ Kisiasa: unahitaji mjadala na marekebisho ya wazi.
NB UISLAM NI DINI YA HAKI
TUIONE HIO HAKI SASA
NYERERE ULITUINGIZA MATATIZONI
WATANGANYIKA
Wanafanya nini Kariakoo na mikoa yote kama wamejitosheleza.Kile ni kisiwa baharini,Wana bandari,hawaihitaji kariakoo ukivunja muungano
Kuna mtu alienda znz 2022, juz kat kaenda kaniambia alidhani boat ilipotea njia ikawapeleka nchi nyingne, hakuamini alichokutana nacho.Hawawezi kubali uvunjwe kwa sababu wanafaidika mnoo!! Kama umeenda Zenji recently aysee ni kunajengwa balaa! Mijengo mikali kama ulaya
Soma ueleweWanafanya nini Kariakoo na mikoa yote kama wamejitosheleza.
Usiongee tu. Wao sio wanaosema kila siku kuhusu huu muungano usio wa haki? Ulikuwa wapi wakati akina Seif Sharif wakiondolewa CCM kwa kusema kuhusu Muungano? Hukuwepo wakati mashekhe wa UAMSHO wakiteswa gerezani huko Tanganyika kwa kusema kuhusu muungano? Hivi hukumbuki yaliyomkuta Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa kusema na kutenda kuhusu muungano?Hawawezi kubali uvunjwe kwa sababu wanafaidika mnoo!! Kama umeenda Zenji recently aysee ni kunajengwa balaa! Mijengo mikali kama ulaya
Kwa nini haikujengwa kabla ?Usiongee tu. Wao sio wanaosema kila siku kuhusu huu muungano usio wa haki? Ulikuwa wapi wakati akina Seif Sharif wakiondolewa CCM kwa kusema kuhusu Muungano? Hukuwepo wakati mashekhe wa UAMSHO wakiteswa gerezani huko Tanganyika kwa kusema kuhusu muungano? Hivi hukumbuki yaliyomkuta Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa kusema na kutenda kuhusu muungano?
Kuhusu Zanzibar kujengwa hakuna tatizo kwani zinatumika rasimali za Zanzibar kuijenga Zanzibar. Ulitarajia Zanzibar isijengwe? Hayo ndiyo yaliyompelekea Nyerere kusema kwamba kama angekuwa na uwezo angeichukua Zanzibar akaitupilia mbali na aliposhindwa akaamua kuiunganisha na Bara kwa lengo lilelile la chuki dhidi ya Zanzibar. Zanzibar tutaijenga wenyewe Wazanzibari.
Swali kama hili ndo la kuuliza mkuu? Mimi nikikuuliza kwanini SGR, Tanzanite Bridge na mengine kule upande kwanini hayakujengwa kabla?Kwa nini haikujengwa kabla ?
Nabisha sana kwasababu ni habari za uongo na uzushi.Zanzibar inajengwa na madini ya Tanganyika na mikataba ya Bandari kwa waarabu, usibishe mkuu.
Huu ni uzushi na uchonganishi kwasababu ya chuki binafsi.Tanganyika sio kwamba inanyonywa bali inaporwa kwa nguvu na wazanzibar.
Wabunge 50+ wanaotoka Zanzibar ni Wabunge wa bunge la JMT ambalo ofisi zake ziko Dodoma - Makao Makuu. Fedha wanayolipwa inatoka JMT kwa vyanzo vya mapato vya JMT. Hakuna fedha ya Tanganyika inayolipa wabunge si wa Tanganyika wala wa Zanzibar.Wabunge 50 toka Zanzibar wako Tanganyika wanalipwa mabilioni kwa mwezi.
Hakuna kwa sababu Zanzibar, kama ilivyo Tanganyika, haihusiki kulipa wabunge.Niambie hata mjumbe mmoja toka Tanganyika anayelipwa na smz hata sh moja.
Kama Tanganyika haiwalipi wazanzibar 50 pale Dodoma, nani anawalipa hebu tuelimishe mkuu.Swali kama hili ndo la kuuliza mkuu? Mimi nikikuuliza kwanini SGR, Tanzanite Bridge na mengine kule upande kwanini hayakujengwa kabla?
Huoni kwamba swali lako hili halina maana?
Sasa nakujibu: Haikujengwa kabla kwani tulikuwa tunajenga kwa kuangalia ni nini kianze na kipi kisubiri. Tumejenga makaazi ya Michenzani, Kiwajuni, Bambi, Makunduchi, Mkoani, Bwawani na majengo mengine na sasa tunaendelea. Unasemaje?
Nabisha sana kwasababu ni habari za uongo na uzushi.
Huu ni uzushi na uchonganishi kwasababu ya chuki binafsi.
Wabunge 50+ wanaotoka Zanzibar ni Wabunge wa bunge la JMT ambalo ofisi zake ziko Dodoma - Makao Makuu. Fedha wanayolipwa inatoka JMT kwa vyanzo vya mapato vya JMT. Hakuna fedha ya Tanganyika inayolipa wabunge si wa Tanganyika wala wa Zanzibar.
Hakuna kwa sababu Zanzibar, kama ilivyo Tanganyika, haihusiki kulipa wabunge.
Chadema bana mnatapatapa baada ya kufeli NRNE sasa mnakuja kwa mbinu za kugawa watu kikanda hahahahaKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Wakati wanapga kelele watanganyika mlikuwa wapi? Au mlikuwa mnawaita magaidiIla Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
Acha konakona wewe mpemba! Mali zinaporwa huku ndio zinaenda kujenga Zanzibar! Mna rasilimali gani nyie za kuijenga Zanzibar kwa kasi hii mnayokwenda nayo? Wizi tu! Na huyu maza wenu ndio anafanya yote hayaUsiongee tu. Wao sio wanaosema kila siku kuhusu huu muungano usio wa haki? Ulikuwa wapi wakati akina Seif Sharif wakiondolewa CCM kwa kusema kuhusu Muungano? Hukuwepo wakati mashekhe wa UAMSHO wakiteswa gerezani huko Tanganyika kwa kusema kuhusu muungano? Hivi hukumbuki yaliyomkuta Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa kusema na kutenda kuhusu muungano?
Kuhusu Zanzibar kujengwa hakuna tatizo kwani zinatumika rasimali za Zanzibar kuijenga Zanzibar. Ulitarajia Zanzibar isijengwe? Hayo ndiyo yaliyompelekea Nyerere kusema kwamba kama angekuwa na uwezo angeichukua Zanzibar akaitupilia mbali na aliposhindwa akaamua kuiunganisha na Bara kwa lengo lilelile la chuki dhidi ya Zanzibar. Zanzibar tutaijenga wenyewe Wazanzibari.
Kweli,Hawawezi kubali uvunjwe kwa sababu wanafaidika mnoo!! Kama umeenda Zenji recently aysee ni kunajengwa balaa! Mijengo mikali kama ulaya
Wewe ni kama mimi. Huu muungano unainufaisha ccm tu na wahuni wake. Kama tunautaka sana basi uwe ni muungano wa serikali 3, au 1! Na kama haiwezekani basi kila nchi ingejitegemea kivyake.Kiuhalisia sioni faida ya muungano huu
Ukisikika unadai kuvunja muungano, adhabu yako ni kifo sasa hivi..Ila Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
Mchimba kisima huingia mwenyewe, Lengo la Muungano ilikua ni kuimeza Zanzibar ndio maana Nyerere akaja na sera ya serekali mbili kuelekea moja, lakini miaka 60 sasa hilo limeshindikana, don't hunt what u can't killKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Mwinyi ni wa Shungubweni Mkuranga..kwaiyo wakati alivyo kuwa makamu wa rais haikuwa na tatizo? Je wakati mwinyi alivyo kuwa Rais hamkuona haya?