matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Hata CCM hainufaiki.Wewe ni kama mimi. Huu muungano unainufaisha ccm tu na wahuni wake. Kama tunautaka sana basi uwe ni muungano wa serikali 3, au 1! Na kama haiwezekani basi kila nchi ingejitegemea kivyake.
Ila siyo kuendelea kuukumbatia huu muungano wa changu changu, chako changu! Huu ni muungano wa kijinga kabisa kuwahi kutokea duniani.
Hata hili nalo hulijui, halafu unakuja na hoja humu? Sasa nakupa jibu: Wale wanalipwa na Watanzania.Kama Tanganyika haiwalipi wazanzibar 50 pale Dodoma, nani anawalipa hebu tuelimishe mkuu.
Ccm ndio wanufaika wakuu wa hu muungao tena ni wale viongozi wakubwa tu ndio mana hawataki kuuachia.Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Huu ni muungano wa mume bwege na mwanamke malaya..Wewe ni kama mimi. Huu muungano unainufaisha ccm tu na wahuni wake. Kama tunautaka sana basi uwe ni muungano wa serikali 3, au 1! Na kama haiwezekani basi kila nchi ingejitegemea kivyake.
Ila siyo kuendelea kuukumbatia huu muungano wa changu changu, chako changu! Huu ni muungano wa kijinga kabisa kuwahi kutokea duniani.
Wacha ujinga wewe! Tunajenga kwa rasilmali zetu wenyewe. Mapato yanayokusanywa na misaada kama ambavyo Tanzania inafanya. Munadanganyana kwamba Zanzibar haina rasilmali. Waulizeni wazee wenu swala hili: "Hivi hawa Wazanzibari kabla muungano walijengaje nchi yao?" Jawabu utakalopata njoo ututonye humu.Acha konakona wewe mpemba! Mali zinaporwa huku ndio zinaenda kujenga Zanzibar! Mna rasilimali gani nyie za kuijenga Zanzibar kwa kasi hii mnayokwenda nayo? Wizi tu! Na huyu maza wenu ndio anafanya yote haya
chawa wa kipemba kazini......Wacha ujinga wewe! Tunajenga kwa rasilmali zetu wenyewe. Mapato yanayokusanywa na misaada kama ambavyo Tanzania inafanya. Munadanganyana kwamba Zanzibar haina rasilmali. Waulizeni wazee wenu swala hili: "Hivi hawa Wazanzibari kabla muungano walijengaje nchi yao?" Jawabu utakalopata njoo ututonye humu.
Nakumbusha tu kuna wakati Nyerere, kwa choyo chake, alimtuma Amir Jamal, Waziri wa Fedha, kuja kuchunguza Zanzibar wana pesa kiasi gani. Amir alipofika kwa Karume Senior akamweleza ujumbe wa mwalimu akamjibu: "Mimi Nyerere namzaa" Akarudi. Hii ni namna ambavyo Watanganyika wanaionea choyo Zanibar, hivyo wewe sikushangai.
Kwa jinsi Katiba yetu ilivyo ya ovyo, mkuu wa nchi Mzanzibari akipenda anaweza kuwa na PM Mzanzibari, AG Mzanzibari, CDF Mzanzibari, IGP Mzanzibari, etc. Moreover, kwa kutumia machawa Watanganyika wanaomzunguka anaweza hata kuwezesha Mzanzibari kuwa Speaker wa Bunge!Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Mwinyi asili yake ni barakwaiyo wakati alivyo kuwa makamu wa rais haikuwa na tatizo? Je wakati mwinyi alivyo kuwa Rais hamkuona haya?
Ukweli mchungu. M/Ulidhani hatuwezi kusema? Unajidanganya. Kule munakodanganywa endeleeni tu. Mkuu tunayaweza.chawa wa kipemba kazini......
Katika vitu hunichanganya sana ,ni hili kwamba mzanzibar anaweza miriki aridhi bara , ila Mbara ni shida ZanzibarKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Wabara sisi ni wapumbavu sana. Wazenji waliukataa Muungano siku nyiingii. Tukalazimisha waendelee kuwa nasi. Sasa hivi sisi ndo tumekuwa wa kulilia Muungano uvunjwe. Wacha tunyoroshwe.Ila Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
ukweli gani?zaidi ya zanzibar kunufaika na rasilimali za tanganyika?chenu ni chenu cha tanganyika cha wote....muungano ama maigizoUkweli mchungu. M/Ulidhani hatuwezi kusema? Unajidanganya. Kule munakodanganywa endeleeni tu. Mkuu tunayaweza.
Zanzibari are a proud people, wanajielewa,wanalinda tamaduni yao. SERIKALI MOJA HAWAKUBALI KWAME,SIYO LEO WALA KESHO.Kuanzisha serikali ya Tanganyika (serikali 3).
Au Zanzibar iwe sehemu ya mfumo wa serikali moja.
Au kuruhusu raia yeyote wa Tanzania kugombea urais wa Zanzibar (chaguo lenye utata mkubwa).
SOLUTION
KAMA UNA NDOTO ZA SIKU MOJA KUWA HUU MUUNGANO UTAVUNJIKA IFUTE ...HICHO KITU HAKITATOKEA KWA KUWA HAKINA MASLAHI KWA YEYOTEKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
RubbishKwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?
Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Baada ya 2030 hata ukivunjinka, watakuwa wachenyentwa haswa, nawakaindike kwenye vitabu vyao vya historia shule ya msingi na ijadiliwe mpaka vyuoni "The Iron Lady of Tanganyika"Mimi kama mzanzibari ninafurahi sana awamu ya mama yetu kipenzi chetu namna anavyowakamua hawa vichwa ngumu wa Tanganyika.Hadi kufika 2030 tutakuwa tumewanyoosha vya kutosha
Kamuulize Nyerere.Kwa hiyo Tanganyika unaona haipaswi kuwepo ila Zanzibar inapaswa kuwepo