October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hehehee!
Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha!
Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado.
Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
Sisiemu ni ile ile na watu wake ni wale wale.
Alikua wapi kupinga mauaji na uapisho wa Rais haramu kabla hawajakabidhiwa Ikulu.
Nakazia NakaziaSisiemu ni ile ile na watu wake ni wale wale.
Ni wepesi kushawishika kama Wanawake.Kwa nini hili wengi hawaielewi?
Ngoja tuone, ila ukweli pale SISIEMU kumejaa masnitch tu wakiongozwa na Kibendera.Nafikiri Kila mtu anambinu zake za kupambana
Simai oyeeeeeeeNafikiri Kila mtu anambinu zake za kupambana
Kama wanahamisha kwa mbinu hii watachufuka zaidi, au wao wenyewe wamechoka wanataka kubadili jambofisiemu wanataka kuhamisha attention.
Wanajifanya kama kwenye chama chao kuna mgogoro.
Wakumbuke tuu october 29%30 haisauliki.